Juma WALEO
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 204
- 40
Jamani wakuu naomba mshiriki kutaja ideas zisizo za kawaida ambazo zimewatoa kimaisha watu unaowafahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo mazuri ni mengi ila inategemea saana mtekelezaji wa wazo, mazingira yako nk.
Mawazo mengine yanahitaji elimu au ujuzi wa aina fulani. Dhamira na mengine mtaji. Tungelijua elimu na mahali alipo mtaka wazo angepewa kitu kitakachomfaa.
Mfano dogo wa la saba akijifunza ufundi wa pikipiki chini ya mwaka atakuwa anaweza fungua ofisi yake popote tz maana zipo tele. Wateja kibao.
http://--------------/index.php?task=136505
jamani hii ni ya ukweli kabisa nilikua siamini kama watu wanaweza kupata hela wakiw awamekaa na kupost hii kitu hakuna utapeli wa benk account hapa jiunge na mni prove me wrong just open the link and register your self
>hyo pesa utapataje?, na utalpwa kiac gan?, na kama huna account?.http://--------------/index.php?task=136505