kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Mnaonaje Wadau, Serikali ikitunga sheria kuhusiana na wazo. Miaka ya 90 iliwezekana kwa zile chai/maharage, kutoka left hand drive to right hand drive
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa ni kwavipi gari ya automatic itaongeza foleni na manual kupunguza
Zamani wenye uwezo wa kununua gari, walikua wachache, lakini sidhani eti mtu anunue gari yake, akikusudia aendeshe alafu inshinde.Itakuwa ni zile roho za kwetu uswahilini. Huwa hatufurahii mafanikio ya wengi.
Bila shaka idadi ya wawezao kuendesha manual gear vehicles ni wachache sana. Hivyo mleta mada na wachache tu watakuwa na fursa zaidi za kutanua.
Uswahilini hakupendezi kama wanaofurahia maisha ni wengi.
Hiii siyo kweli. Wakati ukifika hakuna wa kuzuia, Sisi wazee, tunajua hilo, hata hizi TV wenye nazo walikua wanahesabika kweni hizi unazodhani hazinunuliki hazipo Tanzania.Afu watu hawajaui kwann wengi wanaendesha auto suala hapa ni uchumi mdogo gari nyimhi za manual kwa sasa ni SUV ambazo bei kubwa na gari nying ambazo wenye uchumi mdogo wameza miliko haizina matoleo ya manual
Hiwa nashangaa jitu linakaza shingo kupond a waendesha auto wakati lenyewe hata vitz halina linaendehsa gari ya muhindi huko
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Nilijua unazungumzia magari haya yaliyoteuliwa hivi karibuni mikoani na wilayani na Bi Mkubwa. Anyways, ngoja nielewe hivi, maana haya magari sijui 2025 yatafika kweli, because dereva wao ni kama hajui anakoelekea na kama kweli ana mafuta ya kutosha!???
Pessimists kama wewe ndio wanazidi kutuharibia nchi; ukiona ugali ni mgumu, kunywa uji utapa vionjo na lishe zilezile.Ndugu yangu mambo mengi acha kama yalivyo utapata msongo wa mawazo kubeba watu moyoni
Mama ndio raisi sasa haitobadilisha kitu
^The very essence of leadership is that you have to have a vision. It's got to be a vision you articulate clearly and forcefully on every occasion. You can't blow an uncertain trumpet^ ~ Theodore M. HesburghNdugu yangu mambo mengi acha kama yalivyo utapata msongo wa mawazo kubeba watu moyoni
Mama ndio raisi sasa haitobadilisha kitu
Mpk sasa dereva aliyeko kwny usukani h bado hajafanya zile Tabia za hovyo hovyo za kuwateka abiria wake,mara wamepotelea huko maporiniNilijua unazungumzia magari haya yaliyoteuliwa hivi karibuni mikoani na wilayani na Bi Mkubwa. Anyways, ngoja nielewe hivi, maana haya magari sijui 2025 yatafika kweli, because dereva wao ni kama hajui anakoelekea na kama kweli ana mafuta ya kutosha!???
Zamani wenye uwezo wa kununua gari, walikua wachache, lakini sidhani eti mtu anunue gari yake, akikusudia aendeshe alafu inshinde.
Wengi hawajui kuendesha manualSijakuelewa ni kwavipi gari ya automatic itaongeza foleni na manual kupunguza
Serikali ifanye mpango nchi itengeneze magari yake, sio kuyaboronga ya wenzao.Mnaonaje Wadau, Serikali ikitunga sheria kuhusiana na wazo. Miaka ya 90 iliwezekana kwa zile chai/maharage, kutoka left hand drive to right hand drive
Dunia imehamia kwenye automation mijinga bado inataka turudi kwenye manual. Baadae litataka zirudi TV za kichogo ambazo hatumii remote control..Afu watu hawajaui kwann wengi wanaendesha auto suala hapa ni uchumi mdogo gari nyimhi za manual kwa sasa ni SUV ambazo bei kubwa na gari nying ambazo wenye uchumi mdogo wameza miliko haizina matoleo ya manual
Hiwa nashangaa jitu linakaza shingo kupond a waendesha auto wakati lenyewe hata vitz halina linaendehsa gari ya muhindi huko
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
Kila kitu na zaka zake gari za manual zingekuepo nado watu wangendesha tu kama wanavoendesha auto kwan kuna ugunu ganiDunia imehamia kwenye automation mijinga bado inataka turudi kwenye manual. Baadae litataka zirudi TV za kichogo ambazo hatumii remote control..
Mtoa mada hajielewi sasa mtu aache kununua gari kisa ni manual? Aseme kila gari itakayoingia ushuru ni 40m hapo sawa lakini sio manualItakuwa ni zile roho za kwetu uswahilini. Huwa hatufurahii mafanikio ya wengi.
Bila shaka idadi ya wawezao kuendesha manual gear vehicles ni wachache sana. Hivyo mleta mada na wachache tu watakuwa na fursa zaidi za kutanua.
Uswahilini hakupendezi kama wanaofurahia maisha ni wengi.