Wazo: Gari zote Automatic chini ya tani mbili zibadilishwe kuwa manual kupunguza msongamano!

Wazo: Gari zote Automatic chini ya tani mbili zibadilishwe kuwa manual kupunguza msongamano!

Nilijua unazungumzia magari haya yaliyoteuliwa hivi karibuni mikoani na wilayani na Bi Mkubwa. Anyways, ngoja nielewe hivi, maana haya magari sijui 2025 yatafika kweli, because dereva wao ni kama hajui anakoelekea na kama kweli ana mafuta ya kutosha!???
Mzee bado huamini kuwa mwendazake ameshaenda? Kaa kwa kutulia nchi ipo mikono salama
 
Mtoa mada hajielewi sasa mtu aache kununua gari kisa ni manual? Aseme kila gari itakayoingia ushuru ni 40m hapo sawa lakini sio manual

Kwa mtaji huo mleta mada atakuwa anaiishi awamu ya tano. Awamu iliyokuwa imetanguliza chuki mbele. Ikajawa na kodi lukuki za dhuluma.

NB: Mama kodi za dhuluma hazitaki.
 
Napenda sana kuendesha gar za matual Kam Kuna mtu anatafuta dereva wa muda kwa kazi za project anicheki nimuendeshee gar lake kwa umakin wa Hali ya juu Sana ...kama juz nilivyomuendeshea mtafiti mmoja jina kapuni wa USAID hapa singida
IMG_20201021_080728_4.jpg
IMG_20201021_080635_2.jpg
IMG_20201021_080603_9.jpg
 
Itakuwa ni zile roho za kwetu uswahilini. Huwa hatufurahii mafanikio ya wengi.

Bila shaka idadi ya wawezao kuendesha manual gear vehicles ni wachache sana. Hivyo mleta mada na wachache tu watakuwa na fursa zaidi za kutanua.

Uswahilini hakupendezi kama wanaofurahia maisha ni wengi.
Na wakienda driving schools kusomea manual foleni zinarudi
 
Mnaonaje Wadau, Serikali ikitunga sheria kuhusiana na wazo. Miaka ya 90 iliwezekana kwa zile chai/maharage, kutoka left hand drive to right hand drive
Kati ya manual gear na automatic gear ni ipi rahisi kuendesha?
BTW dunia imeshahama kwenye manual hatuwezi kurudi nyuma tena
 
Kati ya manual gear na automatic gear ni ipi rahisi kuendesha?
BTW dunia imeshahama kwenye manual hatuwezi kurudi nyuma tena
Kwa nini karibu gari zote za Serikali ni manual? Kwani Serikali yenyewe hitaki kwenda na wakati? In short, maintenance, durability, etc, viko vizuri.
 
Mnaonaje Wadau, Serikali ikitunga sheria kuhusiana na wazo. Miaka ya 90 iliwezekana kwa zile chai/maharage, kutoka left hand drive to right hand drive

Ukifika nyumbani kwako toa flat screen weka chogo au sio mdau [emoji23]
 
Ukifika nyumbani kwako toa flat screen weka chogo au sio mdau [emoji23]
Mkuu, inaonekana manual inakupa tabu sana Mkuu! Zamani Traffic walikuwa hawakubali kukutest kwa gari automatic. Siku hizo wameamua kupeta tu, maana IST nyingi sana
 
Kwa nini karibu gari zote za Serikali ni manual? Kwani Serikali yenyewe hitaki kwenda na wakati? In short, maintenance, durability, etc, viko vizuri.
Ni manual sababu wananunua in bulk na wananunua base model. Pia manual hazina complication nyingi kwenye electronics.
 
Bahati mbaya hatuna viwanda vya kufanya hivyo, hizo ni standard za wenzetu na hayo ni magari ya wenzetu siyo yetu...
 
Back
Top Bottom