Mzee bado huamini kuwa mwendazake ameshaenda? Kaa kwa kutulia nchi ipo mikono salamaNilijua unazungumzia magari haya yaliyoteuliwa hivi karibuni mikoani na wilayani na Bi Mkubwa. Anyways, ngoja nielewe hivi, maana haya magari sijui 2025 yatafika kweli, because dereva wao ni kama hajui anakoelekea na kama kweli ana mafuta ya kutosha!???
Mtoa mada hajielewi sasa mtu aache kununua gari kisa ni manual? Aseme kila gari itakayoingia ushuru ni 40m hapo sawa lakini sio manual
Na wakienda driving schools kusomea manual foleni zinarudiItakuwa ni zile roho za kwetu uswahilini. Huwa hatufurahii mafanikio ya wengi.
Bila shaka idadi ya wawezao kuendesha manual gear vehicles ni wachache sana. Hivyo mleta mada na wachache tu watakuwa na fursa zaidi za kutanua.
Uswahilini hakupendezi kama wanaofurahia maisha ni wengi.
Una-enjoy sana. Hasa kwa safari ndefu. Haichoshi.Napenda sana kuendesha gar za matual Kam Kuna mtu anatafuta dereva wa muda kwa kazi za project anicheki nimuendeshee gar lake kwa umakin wa Hali ya juu Sana ...kama juz nilivyomuendeshea mtafiti mmoja jina kapuni wa USAID hapa singida View attachment 1829859View attachment 1829860View attachment 1829861
Kati ya manual gear na automatic gear ni ipi rahisi kuendesha?Mnaonaje Wadau, Serikali ikitunga sheria kuhusiana na wazo. Miaka ya 90 iliwezekana kwa zile chai/maharage, kutoka left hand drive to right hand drive
Kwa nini karibu gari zote za Serikali ni manual? Kwani Serikali yenyewe hitaki kwenda na wakati? In short, maintenance, durability, etc, viko vizuri.Kati ya manual gear na automatic gear ni ipi rahisi kuendesha?
BTW dunia imeshahama kwenye manual hatuwezi kurudi nyuma tena
Zile ni SUVKwa nini karibu gari zote za Serikali ni manual? Kwani Serikali yenyewe hitaki kwenda na wakati? In short, maintenance, durability, etc, viko vizuri.
Mnaonaje Wadau, Serikali ikitunga sheria kuhusiana na wazo. Miaka ya 90 iliwezekana kwa zile chai/maharage, kutoka left hand drive to right hand drive
Mkuu, inaonekana manual inakupa tabu sana Mkuu! Zamani Traffic walikuwa hawakubali kukutest kwa gari automatic. Siku hizo wameamua kupeta tu, maana IST nyingi sanaUkifika nyumbani kwako toa flat screen weka chogo au sio mdau [emoji23]
Siku hizi wanapeta, leseni hazileti tabu sanaMkuu, inaonekana manual inakupa tabu sana Mkuu! Zamani Traffic walikuwa hawakubali kukutest kwa gari automatic. Siku hizo wameamua kupeta tu, maana IST nyingi sana
Ni manual sababu wananunua in bulk na wananunua base model. Pia manual hazina complication nyingi kwenye electronics.Kwa nini karibu gari zote za Serikali ni manual? Kwani Serikali yenyewe hitaki kwenda na wakati? In short, maintenance, durability, etc, viko vizuri.
Thank you very much!Ni manual sababu wananunua in bulk na wananunua base model. Pia manual hazina complication nyingi kwenye electronics.
Wapo mafundi, wazuri tu.Bahati mbaya hatuna viwanda vya kufanya hivyo, hizo ni standard za wenzetu na hayo ni magari ya wenzetu siyo yetu...