Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Kama unawaza biashara ya kufanya chukua hii..
Kuna idadi kubwa sana ya watu wanatafuta vitu vya kufanya kuwafurahisha nafsi zao..hasa baada ya mizunguko ya kila siku ya kupambana na maisha.
Watu jioni wanaenda
-gym
-jogging
-bar
-wengine wanakua idle tu
ila nina hakika kuwa kuna idadi kubwa ya watu wanapenda kujiburudisha,watu walikua na ndoto fulani katika maisha lakini maisha yamewapa vitu tofauti na walivyovitegemea zamani katika ndoto zako (wabongo wengi ni wahanga wa hili)
Sasa leo nazungumzia hii fursa ambayo wengi nina hakika wangetamani sana
Idadi kubwa ya watu wanapenda muziki...wale wanaopenda liveband ni wanatamani saaanaa kujua kupiga kinanda,ngoma au gitaa lakini bahati mbaya sana fursa za kujifunza hayo masuala huwa ni bahati tu.
Wengi wamesoma seminari au wamejulia kupiga ala za muziki makanisani ila siyo kwa kwenda kozi maalumu za kujifunza(kama zipo basi kwa uchache)
Sasa unaonaje ukifungua kituo cha kufundisha watu kupiga hizi ala mtaani?...tena siyo kitaalamu wewe fundisha tu kupiga kawaida.
Nina hakika utapata wateja wengi sana...tengeneza utaratibu wako...tafuta sehemu iliyotulia...panga viwango vya malipo na length ya kozi...tafuta walimu wachache wanaojua...anza kazi yako.
Kupiga ala za muziki siyo kipaji ni vitu ambavyo yeyote anaweza kujifunza akipenda..ni kama kuendesha gari au baiskeli...the more you practice the more you become perfect.
Soma hili lifanyie kazi...
Kama kuna sehemu naweza sahihishwa nakubali maana hata mimi nahitaji mawazo zaidi kwenye hili ili nilianzishe kwa hapa nilipo.
Tutafute Hela Ziliko.