Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Hivi lile bwawa hapo liko upande gani?5 kama mlizocharazwa na Creativo Desportivo le Club Libolo au Haras el Hadood?
Sisi ni wa kimataifa ndio, si sawa na Sokoni FC
Kweli watu wenye akili chanya hili laweza kuwa jengo la klabu? Hapa mchezaji anafanyiwa majaribio wapi hapa sokoni?
Weka heshima unaongea na nani

Hivi lile bwawa hapo liko upande gani?
Alafu usiwe na kumbukumbu fupi kama nukta, unaijua Raja De Casablanca ilichowafanyia bila ganzi?
Hehehe watani wa jadi bwana mnavijimaneno hatariUkiona mtu ana bwawa nyumbani kwake basi dhahiri anayo ardhi. Sasa pa kutema mate sokoni hakuna, bwawa litakaa wapi?
Sio dhalili kwa klabu kukaa kwenye 'mabanda ya njiwa'?
Kwa uoga wenu wa kukutana na Raja Casablanca ndio huu mwaka wa 4 sasa safari zenu KWA BASI....Tanga, Morogoro. Siku mkiikwaa ndege basi Fast Jet, kituo Mwanza