Wazo huru: Yanga/Azam ziwakimbize Waarabu Saa 8 mchana

Kajengo kachafuuu, mi ilinichukua miaka kutambua wapi makao makuu ya klabu ya Simba Koko yapo maana siku zote napita hapo lkn sikuwahi kuwaza kuwa Mh. Rage akitaka kutoka ofisini lazima awaombe wauza CD za Kikorea, mikanda na vyupi wanyanyue bidhaa ndio apite.

Ofisi inafanana na Haji Manara
 
5 kama mlizocharazwa na Creativo Desportivo le Club Libolo au Haras el Hadood?

Sisi ni wa kimataifa ndio, si sawa na Sokoni FC
SAM_0447.jpg

Kweli watu wenye akili chanya hili laweza kuwa jengo la klabu? Hapa mchezaji anafanyiwa majaribio wapi hapa sokoni?

07.JPG

Weka heshima unaongea na nani
Hivi lile bwawa hapo liko upande gani?

Alafu usiwe na kumbukumbu fupi kama nukta, unaijua Raja De Casablanca ilichowafanyia bila ganzi?
 
Ukiona mtu ana bwawa nyumbani kwake basi dhahiri anayo ardhi. Sasa pa kutema mate sokoni hakuna, bwawa litakaa wapi?
Sio dhalili kwa klabu kukaa kwenye 'mabanda ya njiwa'?

Kwa uoga wenu wa kukutana na Raja Casablanca ndio huu mwaka wa 4 sasa safari zenu KWA BASI....Tanga, Morogoro. Siku mkiikwaa ndege basi Fast Jet, kituo Mwanza
 
Hehehe watani wa jadi bwana mnavijimaneno hatari
 
Mwana mbuzi yake kamba, Yanga haina timu nzuri wanalifedhehesha Taifa bure.
 
Unajua kwao hivi sasa ni nyuzijoto 57? Endelea kujidanganya.
 
Back
Top Bottom