ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Nina wazo ila sijajua kuhusu watu wa mazingira kwao wataonaje hili jambo ila tu nawaza kile ambapo manispaa ya kigamboni mji mwema wanapogombana na wananchi kila mwaka na kupelekea kujua watu kwanini manispaa wasianzishe dampo ambapo watapata pesa na pia lile eneo litafukiwa na kupata eneo kama ilivyo Tabata dampo kama vile ilivyo kwa Aziz Ally pale ebu Serikali waangalie hili jambo pale mashimo ni makubwa sana itachukua muda mrefu kuyajaza ebu waliangalie hili wazo kwako mkuu wilaya na miurungenzi kigamboni