Ila aya mashimo mpk wakija kujaza itasadia kupata eneo la makazi katika ayo maeneo na kupunguza Poli lililopo sasa maana mji mwema sasa itakuwa kuungana na kisotaWanataka wanunue Eneo ili Wapige Pesa hayo Mashimo hayana Tija kwao
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Uchafuzi wa mazingira huo.Nina wazo ila sijajua kuhusu watu wa mazingira kwao wataonaje hili jambo ila tu nawaza kile ambapo manispaa ya kigamboni mji mwema wanapogombana na wananchi kila mwaka na kupelekea kujua watu kwanini manispaa wasianzishe dampo ambapo watapata pesa na pia lile eneo litafukiwa na kupata eneo kama ilivyo tabata dampo kama vile ilivyo kwa Aziz Ally pale ebu serikali waangalie hili jambo pale mashimo ni makubwa sana itachukua muda mrefu kuyajaza ebu waliangalie hili wazo kwako mkuu wilaya na miurungenzi kigamboni
Leo yapo?Hakuna kitu kama hicho tulikuwa na dampo kwa azizi ally pale tulikuwa na dampo tabata
Wamejenga juu ya dampo? Nyumba zitapata nyufa kadiri taka zinavyooza.Kumeshajaaa mkuu vimekuwa viwanja watu wanaishi
na dampo la kigogo dampo bila ya kulisahauHakuna kitu kama hicho tulikuwa na dampo kwa azizi ally pale tulikuwa na dampo tabata