Waweke bakuli pale wazalendo wanaotaka kulipia walipie, walipa kodi wanaosema washalipia kwa kupitia kodi zao wapite bure.Hili ni wazo tu kwa serikali yangu kuhusu daraja la busisi kwanza nipongeze serikali pili naomba hili daraja liwe la kulipia ila isiwe hela nyingi kiwekwe kiwango kiasi kama kuchangia maendeleo ya serikali yetu Ila iwe kwa magari tu baskeli pikipiki na waenda kwa miguu iwe bureeeeee
Mfano gari ndogo now nalipa 5000 kwanini nisilipie kwa 1000ikaenda kwenye shughuli za maendeleo
Bwana tajiri umesikika Ila kina sisi wengine majority ni pangu pakavuHili ni wazo tu kwa serikali yangu kuhusu daraja la busisi kwanza nipongeze serikali pili naomba hili daraja liwe la kulipia ila isiwe hela nyingi kiwekwe kiwango kiasi kama kuchangia maendeleo ya serikali yetu Ila iwe kwa magari tu baskeli pikipiki na waenda kwa miguu iwe bureeeeee
Mfano gari ndogo now nalipa 5000 kwanini nisilipie kwa 1000ikaenda kwenye shughuli za maendeleo
Maisha ya nchi yako ni sawa na DubaiNenda Dubai hapo kuna daraja na barabara za kulipia na maisha yanaendelea hakuna kudeka kudeka
Na kwanini lilipiwe kuvuka?Tangu lini kivuko cha Busisi watu na magari vikapita bila kulipia? Kama ferry inalipiwa SHS 500 kwa nini daraja lïsilipiwe?
Tusipende kujilinganisha na wenzetu inapofika kwenye kukamuana mbona kwenye unafuu hatusemi tuwe kama wenzetu mfano bando wenzetu ni cheap na faster kutumia DataMleta mada utapingwa sana lakini uhalisia ndio tunakoelekea ,na dunia ya kwanza iko huko.
Hata hapo Kenya barabara unalipia,achilia mbali Uchina