Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigamboni stendi ya daladala tu bado mtihani pale ferry itakuwa magari ya mkoa!Wazo kwa wilaya kigamboni kutokana geography ya eneo LA kigamboni kuanzisha stand mabasi mkoani itasaidia wananchi pia no chanzo cha mapato
haina haja ya kupita katikati ya jiji, yazungukie mkuranga, then kisarawe then kibaha kwa mbele yaende huko,Kwa foleni hii ya dar yatafika saa ngapi mbeya tukuyu au mwanza?
Route ndefu sana iyohaina haja ya kupita katikati ya jiji, yazungukie mkuranga, then kisarawe then kibaha kwa mbele yaende huko,
hiyo ruti sio ndefu, sema serikali bado haijajenga njia pana ya kuzunguka jiji toka mkuranga hadi kisarawe na kibaha, trust me kungekuwa na njia hiyo pana ya kuzunguka jiji, ingesaidia sana,Route ndefu sana iyo
Kuna njia imefunguliwa juzi kati hapo kifuru na dc wa kisarawe ila sina uhakika eeet inaunganisha kifuru na kisarawe may be wangetumia iyi ila bado ruti ni ndefu kuliko kuzunguka uko ni bora ubaki kwenye foleni au kama vipi wapande tu mwendokasi chap haraka mpaka mbezi louis stend mpya wapande gari wachape lapa fasta tuhiyo ruti sio ndefu, sema serikali bado haijajenga njia pana ya kuzunguka jiji toka mkuranga hadi kisarawe na kibaha, trust me kungekuwa na njia hiyo pana ya kuzunguka jiji, ingesaidia sana,
kwa mkazi wa mbagala ama hiyo kigamboni, ni afadhali apande gari huko aende na safari zake kuliko kupambana na foleni za kati ya jiji ili kufika mbezi louis