Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Bendera ikipepea nusu mlingoti ndo taifa day
Mi naona kuwe na Samia Day🤣🤣🤣Wadau, hebu tuweke kando ushabiki na tuangalie hoja kwa jicho la tatu. Simba wana Simba Day, Yanga nao wana Yanga Day. Zile ni siku kubwa zinazojulikana kitaifa na kimataifa—matamasha, burudani, michezo, biashara, na kutangaza klabu zao. Lakini je, kwa nini sisi kama taifa hatuna siku kama hiyo—Taifa Day—ambayo ingeleta Watanzania wote pamoja bila kujali rangi ya jezi?
Simba Day na Yanga Day zina nguvu ya kusimika mshikamanio wa mashabiki. Lakini je, si kweli tungekuwa na siku moja inayojikita katika kulithamini taifa letu badala ya klabu pekee, ingeimarisha mshikamano wa Watanzania wote?
Tunashangilia vilabu vyetu kwa nguvu kuliko tunavyoshangilia taifa letu. Hili ni tatizo la kipaumbele.
Vilabu vinajitangaza kimataifa kupitia siku zao. Lakini vipi taifa? Taifa Day ingeweza kuwa siku ya kutangaza Tanzania kwa dunia nzima kupitia michezo ya kimataifa, tamasha la muziki, na maonesho ya utamaduni wetu.
Taifa Stars au timu nyingine za taifa zingepewa heshima kubwa na kuimarisha morali ya wachezaji wetu.
Kwa mtazamo wangu, kama taifa tungeanzisha Taifa Day kila mwaka (labda kabla ya michezo ya kufuzu Afcon au Kombe la Dunia), tungelipa hadhi kubwa taifa letu kuliko klabu binafsi. Tusipochukua hatua, itabaki kuwa Simba na Yanga wanapewa heshima kubwa kuliko timu ya taifa yenyewe.
Hii ni ishara gani? Uzalendo wao upo kwa taifa au kwa vilabu?
👇Wazo: Kwa Nini Kusiwe na Taifa Day Kama ilivyo Simba Day na Yanga Day!?
Sema ccm day ile ni timu ya ccmWadau, hebu tuweke kando ushabiki na tuangalie hoja kwa jicho la tatu. Simba wana Simba Day, Yanga nao wana Yanga Day. Zile ni siku kubwa zinazojulikana kitaifa na kimataifa—matamasha, burudani, michezo, biashara, na kutangaza klabu zao. Lakini je, kwa nini sisi kama taifa hatuna siku kama hiyo—Taifa Day—ambayo ingeleta Watanzania wote pamoja bila kujali rangi ya jezi?
Simba Day na Yanga Day zina nguvu ya kusimika mshikamanio wa mashabiki. Lakini je, si kweli tungekuwa na siku moja inayojikita katika kulithamini taifa letu badala ya klabu pekee, ingeimarisha mshikamano wa Watanzania wote?
Tunashangilia vilabu vyetu kwa nguvu kuliko tunavyoshangilia taifa letu. Hili ni tatizo la kipaumbele.
Vilabu vinajitangaza kimataifa kupitia siku zao. Lakini vipi taifa? Taifa Day ingeweza kuwa siku ya kutangaza Tanzania kwa dunia nzima kupitia michezo ya kimataifa, tamasha la muziki, na maonesho ya utamaduni wetu.
Taifa Stars au timu nyingine za taifa zingepewa heshima kubwa na kuimarisha morali ya wachezaji wetu.
Kwa mtazamo wangu, kama taifa tungeanzisha Taifa Day kila mwaka (labda kabla ya michezo ya kufuzu Afcon au Kombe la Dunia), tungelipa hadhi kubwa taifa letu kuliko klabu binafsi. Tusipochukua hatua, itabaki kuwa Simba na Yanga wanapewa heshima kubwa kuliko timu ya taifa yenyewe.
Hii ni ishara gani? Uzalendo wao upo kwa taifa au kwa vilabu?
Soma tena!!Kwan uhuru na muungano izo zote ni taifa day labda ungeshauri zisiwe za kiserikal sana yawepo na matukio ya wananchi