Wazo: Kwanini kusiwe na Taifa Day kama ilivyo Simba Day na Yanga Day!?

Mi naona kuwe na Samia Day🤣🤣🤣
 
Wazo: Kwa Nini Kusiwe na Taifa Day Kama ilivyo Simba Day na Yanga Day!?
👇
 
Nani anataka ujinga! Kama tafiti za UN zinaonesha Tanzania ni nchi ya 153 kati ya nchi 156 ambazo wananchi wake hawana furaha! Unategemea watu wenye akili timamu watahudhuria hilo tamasha ambalo litageuzwa kuwa sherehe za chama tawala?
 
Sema ccm day ile ni timu ya ccm
 
Kwan uhuru na muungano izo zote ni taifa day labda ungeshauri zisiwe za kiserikal sana yawepo na matukio ya wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…