Wazo la biashara (alfajiri)

Jambo,

Mwenye wazo la biashara ndogo ambayo naweza kimbiza (03:00-05:00 Am)

Hii ni kwa sababu ya ratiba kubana

Karibuni kwa mawazo
Kama kweli wewe ni mpambanaji fungua kijiwe cha supu angalau ya utumbo tu pembeni weka mpika vyapati,,,,,utajiongeza kwa kadiri ya mazingira ulipo wengine asubuhi hupata kinywaji wengine soda wengine maji chai n.k.
 
Jambo,

Mwenye wazo la biashara ndogo ambayo naweza kimbiza (03:00-05:00 Am)

Hii ni kwa sababu ya ratiba kubana

Karibuni kwa mawazo
Uza supu maeneo ya uswahili fika machinjoni mapema asubuhi jioni na asubuhi uza supu tafuta eneo lililo changamka lenye vijiwe vya boda au eneo Lenye mirundikano ya watu mithili ya mjini weka bei rafiki isiyo na hasara ila yenye mzunguko mkubwa kwako kukuingizia fedha nyingi
 
Wenye mabucha huenda moja kwa moja huko machinjioni kununua nyama.
Wahi machinjioni Vingunguti saa tisa alfajiri, nunua mzigo wa nyama ya kutosha kisha sambaza kwenye mabucha maarufu katika viunga vya Dar es salaam.
 
Umetisha mkuu
 
Kama kweli wewe ni mpambanaji fungua kijiwe cha supu angalau ya utumbo tu pembeni weka mpika vyapati,,,,,utajiongeza kwa kadiri ya mazingira ulipo wengine asubuhi hupata kinywaji wengine soda wengine maji chai n.k.
0300-0500Am, ni ngumu
 
03:00am-0500am,ni ngumu
 
03:00am-0500am,ni ngumu
Chukua vitu sokoni kwa jumla sambaza kwenye magenge
Tafuta oda jana yake
Pia waweza kwenda machinjioni.....unanunua nyama unasambaza sehemu tofauti cum butcher
Tafuta oda jana yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…