nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Kama kweli wewe ni mpambanaji fungua kijiwe cha supu angalau ya utumbo tu pembeni weka mpika vyapati,,,,,utajiongeza kwa kadiri ya mazingira ulipo wengine asubuhi hupata kinywaji wengine soda wengine maji chai n.k.Jambo,
Mwenye wazo la biashara ndogo ambayo naweza kimbiza (03:00-05:00 Am)
Hii ni kwa sababu ya ratiba kubana
Karibuni kwa mawazo