Wazo la biashara Kenya

Wazo la biashara Kenya

donald42

Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
6
Reaction score
2
Wakuu ninaishi Moshi, ningependa kujua ni bidhaa gani zinalipa vizuri nikitoa Tanzania halafu nipeleke kuuza Nairobi?
 
Sijui mtaji wako ila watanzania wasingekuwa wadwanzi,unga we mahindi unalipa sana Kenya kuna njaa na chakula chao cha usiku na mchana ni ugali na sikuma wiki
 
mkuu ushauri huo hapo juu ni mzuri, chakula kina lipa sana, sisi huku tuna chakula lima upeleke huko.
 
Mkuu hao jamaa si nasikia wana roho mbaya sana hasa kwa wabongo? kuna thread kadhaa humu zinaelezea fursa kwenye nchi jirani zilizokuwa vitani sasa zinaanza kujijenga kama Mozambique,DRC (Mashariki hasa Kivu kusini)ambako kila kitu ni dili.Labda kama unafanya kama "part time" hivyo ni lazima iwe Kenya huku mambo yako mengine yakiendelea hapo Moshi vinginevyo jaribu kutafuta taarifa hapahapa JF ya hizo sehemu nilizokutajia. Ni ushauri tu bandugu
 
Back
Top Bottom