Sijui mtaji wako ila watanzania wasingekuwa wadwanzi,unga we mahindi unalipa sana Kenya kuna njaa na chakula chao cha usiku na mchana ni ugali na sikuma wiki
Mkuu hao jamaa si nasikia wana roho mbaya sana hasa kwa wabongo? kuna thread kadhaa humu zinaelezea fursa kwenye nchi jirani zilizokuwa vitani sasa zinaanza kujijenga kama Mozambique,DRC (Mashariki hasa Kivu kusini)ambako kila kitu ni dili.Labda kama unafanya kama "part time" hivyo ni lazima iwe Kenya huku mambo yako mengine yakiendelea hapo Moshi vinginevyo jaribu kutafuta taarifa hapahapa JF ya hizo sehemu nilizokutajia. Ni ushauri tu bandugu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.