Mkuu hao jamaa si nasikia wana roho mbaya sana hasa kwa wabongo? kuna thread kadhaa humu zinaelezea fursa kwenye nchi jirani zilizokuwa vitani sasa zinaanza kujijenga kama Mozambique,DRC (Mashariki hasa Kivu kusini)ambako kila kitu ni dili.Labda kama unafanya kama "part time" hivyo ni lazima iwe Kenya huku mambo yako mengine yakiendelea hapo Moshi vinginevyo jaribu kutafuta taarifa hapahapa JF ya hizo sehemu nilizokutajia. Ni ushauri tu bandugu