Tajiri wa upendo OG
Senior Member
- Mar 15, 2020
- 171
- 237
Subiri wakati wa mavuno ya ufuta ukanunue then uhifadhi kwenye vyama vya wakulima baadae uuze utapata zaidi ya 100% ya hiyo uliyowekeza!!Habari wadau kama kichwa cha habari kinavyosema ninahitaji wazo zuri la biashara kwa mtaji wa tsh mill 2 hadi 5 nipo Mkoa wa Lindi nakaribisha maoni ya wadau.
SawaKusanya pweza na ngisi, weka kwenye friza Lindi mjini, mzigo ukiwa wa maana weka kwenye coolbox zako leta feri.
NimekupataSubiri wakati wa mavuno ya ufuta ukanunue then uhifadhi kwenye vyama vya wakulima baadae uuze utapata zaidi ya 100% ya hiyo uliyowekeza!!
Uko Lindi wilaya gani nikuunge na wafanyabiashara wengine