Wazo la Biashara kwa mtaji wa kuanzia Tsh Milioni 2 hadi 5

Wazo la Biashara kwa mtaji wa kuanzia Tsh Milioni 2 hadi 5

Tajiri wa upendo OG

Senior Member
Joined
Mar 15, 2020
Posts
171
Reaction score
237
Habari wadau kama kichwa cha habari kinavyosema ninahitaji wazo zuri la biashara kwa mtaji wa tsh milioni 2 hadi 5 nipo Mkoa wa Lindi nakaribisha maoni ya wadau.
 
Habari wadau kama kichwa cha habari kinavyosema ninahitaji wazo zuri la biashara kwa mtaji wa tsh mill 2 hadi 5 nipo Mkoa wa Lindi nakaribisha maoni ya wadau.
Subiri wakati wa mavuno ya ufuta ukanunue then uhifadhi kwenye vyama vya wakulima baadae uuze utapata zaidi ya 100% ya hiyo uliyowekeza!!
 
Uko Lindi wilaya gani nikuunge na wafanyabiashara wengine
 
Nina pickup single cabin 3l ya kwenda mkoa wowote na mtaji wa 2 mil Niko yeyote mwnye wako mikoa ya karibun tunegotiate
 
Back
Top Bottom