Wazo la biashara kwa wanafunzi wa vyuo vya afya

Wazo la biashara kwa wanafunzi wa vyuo vya afya

mzama chumvini

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2016
Posts
730
Reaction score
642
Habari Wanajukwaa:
Kwa Wale Wadogo Zangu Mliochaguliwa Vyuo Vya Afya Hasa Diploma ( Clinical Medicine, Pharmacy & Nursing)

Kuna Hii Biashara Ya Vifaa Vya Hospital Vya Mwanafunzi ( Vital Sign Tools) Kama:
STETHOSCOPE
BP MACHINE
THERMOMETER
PATTELA HAMMER
PEN TORCH
CLINICAL COATS

Ambavyo Kariakoo Set Wanauza 75,000/= Mpaka 80,000/=
Ukija Huku Vyuoni Wenzenu Wanauziwa 100,000/= Mpaka 120,000/=
So Kuna Faida Ya 40,000/= Mpaka 25,000/= Kwa Set Ya Vifaa.

Ni Biashara Nzuri Kwa Mwanafunzi Au Mtu Uliye Karibu Na Vyuo Vya Afya
Jaribu Hili Mimi Nimetoa Kama Wazo!

Ningependa Na Ninataka Kufanya Hili Ila Nimekosa Mtaji Maana Nipo Chuo Kimoja Huku Kusini

Kama Kuna Mtu Atapatikana Kunipa Mzigo Wa Vifaa Nimuuzie, hata Set 10 Au 5 Za Kuanzia Then Awe Ananipa % Nipo Tayari! Tuwasiliane.

Ila Wanafunzi Wa Afya Chukuu Hii Idea! Anza Hata Na Thermometer Tu 20, K/koo Wanauza 2000/= Huku Unauza 3000/=

MASWALI , MAONI, NYONGEZA VINAKARIBISHWA
 
Calculator shingapi Mkuu
Ndo tunafungua chuo hapa ..... Nipe bei ya jumla niwauzie
 
Back
Top Bottom