Wazo la biashara la milion moja na laki nane

Wazo la biashara la milion moja na laki nane

kwanza kijana hongera sana maana umefaulu kutunza hela yote kwa ajili ya boom tu,,,
Nikirudi kwenye mada husika ni ngumu kumshauri mtu biashara tya kufanya kama hujui haya mambo yake:
1.uwezo (potential)
2.utashi/elimu
3.Fursa zinazomzunguka
4.Historia yake kibiashara
5.Mtaji
 
kwanza kijana hongera sana maana umefaulu kutunza hela yote kwa ajili ya boom tu,,,
Nikirudi kwenye mada husika ni ngumu kumshauri mtu biashara tya kufanya kama hujui haya mambo yake:
1.uwezo (potential)
2.utashi/elimu
3.Fursa zinazomzunguka
4.Historia yake kibiashara
5.Mtaji
Asante mkuu nipe ata unayoexperience nayo
 
Subiri Euro ipite wiki hii, wiki ile ligi zinaendelea. Mpe;
Inter M (odds 1.52)
Newcastle Utd (odds 1.68)
Arsenal (odd 1.31)
Spur (odd 1.48)
Man Utd (odd 2.54)

(1.52×1.68×1.31×1.48×2.54) 12.6 Odds
Katika hizo odds 12.6 stake 500K kwanza
500,000×12.6= itakuja kama 6,300,000 Tax hapo ni 18% kwahiyo kwenye akaunti yako itaingia Tshs5,166,000/=

Kwenye hiyo Tshs5,166,000/= nunua Bajaj used unaweza kupata kwa 4.5M, au basi achana na Bajaj, ingia zako wilayani (mji ambao unakuwa) fungua duka la spare za pikipiki na Bajaj Anza na vitu vya muhimu kwanza fungua na ka'workshop hapo. Jifunze na wewe kidogo ufundi wa pikipiki Anza na zile nyepesi endelea kuongeza spares za kutosha ikiwezekana Anza na kuagiza spare za tractor panua workshop yako fanya kazi kisomi uje ulete ushuhuda mwaka 2025 kabla Bi mkubwa hajaapishwa.
 
Back
Top Bottom