Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fungua banda la chips vifaa laki 8, mtaji wa kuanzia 5, laki tano weka akiba make sure una target good locationHabari zenu mm kijan mwenyew miak 24 nimemaliz chuo nimekusanya pesa yangu ya boom nimepata 1.8m naomba wazo biashara ambalo nitakuw nauwez kuigiza al least ellf 30 kwa siku nip dar
Asante mkuu nipe ata unayoexperience nayokwanza kijana hongera sana maana umefaulu kutunza hela yote kwa ajili ya boom tu,,,
Nikirudi kwenye mada husika ni ngumu kumshauri mtu biashara tya kufanya kama hujui haya mambo yake:
1.uwezo (potential)
2.utashi/elimu
3.Fursa zinazomzunguka
4.Historia yake kibiashara
5.Mtaji
Upo mkoa ganiHabari zenu mm kijan mwenyew miak 24 nimemaliz chuo nimekusanya pesa yangu ya boom nimepata 1.8m naomba wazo biashara ambalo nitakuw nauwez kuigiza al least ellf 30 kwa siku nip dar
Njoo na laki 3 hapa mlimani pub kwanza tujadili kidogoMkuu apan sina tamaa
Tafuta sehemu nzuri kwa biashara ya chakula, then anza kuuza chakula...Unaonesha uko na tamaa sana! Kutaka faida ya elfu 30 ndani ya milioni 1.8 kwa siku ni tamaa itakayokupeleka pabaya.
Tafuta sehemu wanakochoma chips omba kazi ujifunze kwa vitendo. Mwezi mmoja unakutosha kuoata ujuziAsante mkuu nipe ata unayoexperience nayo
Kawe winga Kariakoo