Wazo la biashara la milion moja na laki nane

#Mkuu wew n Genius in nature
 
Hiyo nenda ruvuma , mbeya , sumbawanga kalime mahindi au mchele njoo toa ushuhuda hapa mwakani mwezi kama huu
 
JF is no longer the home of Great thinkers comment za watu wa Facebook ndo wamejion umu ndani.


Ok kijana hongera Sana ila ushauri wangu jaribu Biashara ya mayai ya kisasa kwa kuwa unawasambazia wauza chips na madukani usitafute faida kubwa jenga jina na jina lilikuwa hutaweza laza 50-60 as net profit
Abstain sex
Abstain Alcohol
Pray to God and tithing
See you at the top
 
Mkuu kwa 1.8 unaweza kuanza na biashara ya spare za pikipiki.
 
Kaka man United hiii na Newcastle unatk nilie kak
 
Kubadilisha ela border ya zambia na Tz inaeza kukufaa
 
Fanya kwanza utafiti kuhusu aina mbalimbali za biashara na hakikisha ni ile ambayo unaipenda. Angalia utapata wapi cheap supply na pia demand yake katika eneo lako ikoje, angalia costs za hizo biashara. Utafiti huu fanya mwezi mmoja tu kabla ya kuanza.

Mwisho Kaa mbali na wanawake, hakikisha ukae mbali nao, na hata ikitokea biashara ikatick, Kaa mbali nao , fungua biashara nyingine zaidi na zaidi, mtumainie Mungu na uwe na NIDHAMU kuliko walioajiriwa, utatoboa.
 
Kitu nilichojifunza kwenye ujasilia mali na biashara kwa ujumla ni unatakiwa kufanya attempts kadhaa ndipo ufanikiwe.

Sasa inapotokea una mtaji wa ngama aiseee ni changamoto maana huo mtaji hauwezi kusurvive kwasababu hauna backup ya hicho unachokifanya.

Swali la msingi je wewe mwenyewe unajimudu kimahitaji? Kwa maana kwasasa bila ya hicho unachotaka kufanya unauhakika wa kupata milo angalau miwili na mahitaji mengine ya msingi pasipo kupitia huo mtaji?

Biashara au uwekezaji wowote unahitaji muda wa kulelewa kabla haijasimama yenyewe sasa je katika kipindi hicho cha transition una uwezo wa kujimudu pasipo kutegemea uwekazaji wako?

Mara nyingi wamama wauza maandazi, chakula na aina hizo za biashara wengi hawatoboi kwasababu sehemu ya faida inaingia kwenye matumizi ya msingi ya kila siku ya familia.

Ushauri wangu tafuta biashara ya mtaji mdogo kati ya laki moja hadi mbili kisha focus hata kama ukianguka rudia tena na tena kwa kutumia fedha uliyobakiwa nayo. Baada ya attempts kadha ambazo utakua umekosea utakua unajifunza pale ulipokosea
 
We jamaa! Man u ipi ya kumfunga Brighton?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…