Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Kwa anayependa kuwa na kiwanda au kampuni ya kutengeneza vyoo vya plastic vinavyohamishika please chukua hili wazo. Anza kulifanyia kazi.
Soko
1. Uswahilini
2. Vijijini
3. Sehemu zenye mikusanyiko ya watu.
4. Kwenye matamasha au mikutano.
Mtaji
Tsh.1,000,000 na kuendelea.
Soon naweka picha na maelezo jinsi ya kuvitengeneza.
Ila hakikisha unawanufaisha na wenzio, sawa mtanzania mwenzangu eeenh.
shida wazoa taka watakuwa chenga kuja kutoa uchafu mazingira yataharibiwa mara elfu, kipindupindu and alike yoooooh itakuwa shida boss.Kwa anayependa kuwa na kiwanda au kampuni ya kutengeneza vyoo vya plastic vinavyohamishika please chukua hili wazo. Anza kulifanyia kazi.
Soko
1. Uswahilini
2. Vijijini
3. Sehemu zenye mikusanyiko ya watu.
4. Kwenye matamasha au mikutano.
Mtaji
Tsh.1,000,000 na kuendelea.
Soon naweka picha na maelezo jinsi ya kuvitengeneza.
Ila hakikisha unawanufaisha na wenzio, sawa mtanzania mwenzangu eeenh.
Hayo matank ya kuhifadhia kinyesi yanafyoza maji boss.shida wazoa taka watakuwa chenga kuja kutoa uchafu mazingira yataharibiwa mara elfu, kipindupindu and alike yoooooh itakuwa shida boss.
Part 1
Material yake ni kama yaliyotumika kutengenezea vifungashio vya choo kwa watoto vinafyonza mwanzo mwishoHahahahhahaaa ubunifu mzuri ila nawaza ukiwa umebanwa unaweza ukafanya hayo yote na hapo hujachojoa nguo looh.
Halafu ukimaliza huo mfuko ambao umemwaga mbolea, unaukunja na kutembea nao hadi ufike nyumbani ndo uufue au unamwaga pembeni?
issue nani wa kuchimbia ? waswahili kwenda na muda tatizoHayo matank ya kuhifadhia kinyesi yanafyoza maji boss.
Kinyesi unaweza ukakichimbia au kukihamishia sehemu salama
Assume kwa mfano umekiweka sehem Kama kariakoo.Hayo matank ya kuhifadhia kinyesi yanafyoza maji boss.
Kinyesi unaweza ukakichimbia au kukihamishia sehemu salama