Wazo la biashara ( Mobile toilet)

Wazo la biashara ( Mobile toilet)

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,013
Reaction score
1,183
Kwa anayependa kuwa na kiwanda au kampuni ya kutengeneza vyoo vya plastic vinavyohamishika please chukua hili wazo. Anza kulifanyia kazi.
Soko
1. Uswahilini
2. Vijijini
3. Sehemu zenye mikusanyiko ya watu.
4. Kwenye matamasha au mikutano.
Mtaji
Tsh.1,000,000 na kuendelea.
Soon naweka picha na maelezo jinsi ya kuvitengeneza.
Ila hakikisha unawanufaisha na wenzio, sawa mtanzania mwenzangu eeenh.
 
Part 1
 
shida wazoa taka watakuwa chenga kuja kutoa uchafu mazingira yataharibiwa mara elfu, kipindupindu and alike yoooooh itakuwa shida boss.
 
Hayo matank ya kuhifadhia kinyesi yanafyoza maji boss.
Kinyesi unaweza ukakichimbia au kukihamishia sehemu salama
 
Hahahahhahaaa ubunifu mzuri ila nawaza ukiwa umebanwa unaweza ukafanya hayo yote na hapo hujachojoa nguo looh.

Halafu ukimaliza huo mfuko ambao umemwaga mbolea, unaukunja na kutembea nao hadi ufike nyumbani ndo uufue au unamwaga pembeni?
 
Part 4
Hapa unaajiri vijana wako wanapiga rout mijini, jioni mahesabu.
Kama umeweza kujenga kibanda cha kuchakata fedha simu kuwa taslimu nina imani huwezi shindwa hili wazo.
 
Hahahahhahaaa ubunifu mzuri ila nawaza ukiwa umebanwa unaweza ukafanya hayo yote na hapo hujachojoa nguo looh.

Halafu ukimaliza huo mfuko ambao umemwaga mbolea, unaukunja na kutembea nao hadi ufike nyumbani ndo uufue au unamwaga pembeni?
Material yake ni kama yaliyotumika kutengenezea vifungashio vya choo kwa watoto vinafyonza mwanzo mwisho
 
Huku Bongo ngumu kumeza mijitu itakunya mlangoni au pembeni kabisa.!
Hiyo michoo peleka mji mkuu wa Chato
 
Hayo matank ya kuhifadhia kinyesi yanafyoza maji boss.
Kinyesi unaweza ukakichimbia au kukihamishia sehemu salama
Assume kwa mfano umekiweka sehem Kama kariakoo.
Sasa tank lake likijaa kinyesi unaenda kumwaga wapi?
Unajua thsuwaze hela tu lkn pia inabidi tuangalie na side effects zake.
Usije mtu ukafanya ukaonekana kituko ktk jamii.
 
Back
Top Bottom