Phillipe Coutinho
Member
- Mar 7, 2018
- 20
- 25
Nikopeshe aftatuWanajukwaa habari za Asubuhi,
Nina mtaji wa 3M nimehamia hivi karibuni Morogoro mjini hivyo nafikiria kuanzisha biashara. Sababu ya ugeni nimeona nisiwe na haraka kwanza bali niombe ushauri kwenu ni wazo gani la biashara naweza kuanzisha kwa hapa Moro kwa Mtaji huu? Wale Wa negative comments nawatarajia pia😎
Njoo ghetoNikopeshe aftatu
SawaKalime
Ndio aende vijiji vya kilombero huko kuna fursa nyingi. mfano tuliani, mngeta, mlimba, Chitamlela, mang'ula n.k akiwa na mil 3 inatosha kwa kuanzia.Kalime
Dah😁Agiza kunguru wa zenji peleka ifakaraa
Siku zote biashara ni udhaifu na uhitaji. Yaani unatakiwa kuangalia kuna uhitaji upi mahali fulani unaufanyia kazi. Ama kuna udhaifu gani kwa mtu anayefanya biashara kama unayotaka kuanzisha, halafu unaufanyia kazi.
So hapa ndipo kulipo kwa wale watu wanaosema bro nipo Mwanza, nina mtaji wa milioni tano, nifanye biashara gani?
Siwezi kukwambia ufanye ipi kwa kuwa siishi unapoishi wewe, sijui uhitaji wake ni nini na sijui watu wanaofanya biashara fulani udhaifu wao ni upi.
So kabla ya kuanza biashara, anza kucheki vitu hivyo. Fanya utafiti wa kina. Usikurupuke, hizi biashara zinakutaka uwe mvumilivu na mpelelez
Shukrani sana ndugu yanguSiku zote biashara ni udhaifu na uhitaji. Yaani unatakiwa kuangalia kuna uhitaji upi mahali fulani unaufanyia kazi. Ama kuna udhaifu gani kwa mtu anayefanya biashara kama unayotaka kuanzisha, halafu unaufanyia kazi.
So hapa ndipo kulipo kwa wale watu wanaosema bro nipo Mwanza, nina mtaji wa milioni tano, nifanye biashara gani?
Siwezi kukwambia ufanye ipi kwa kuwa siishi unapoishi wewe, sijui uhitaji wake ni nini na sijui watu wanaofanya biashara fulani udhaifu wao ni upi.
So kabla ya kuanza biashara, anza kucheki vitu hivyo. Fanya utafiti wa kina. Usikurupuke, hizi biashara zinakutaka uwe mvumilivu na mpelelezi.
©mhaya
©chilo jr
Mpe muongozo...
Mkuu agiza soda huko nakuja kulipiaSiku zote biashara ni udhaifu na uhitaji. Yaani unatakiwa kuangalia kuna uhitaji upi mahali fulani unaufanyia kazi. Ama kuna udhaifu gani kwa mtu anayefanya biashara kama unayotaka kuanzisha, halafu unaufanyia kazi.
So hapa ndipo kulipo kwa wale watu wanaosema bro nipo Mwanza, nina mtaji wa milioni tano, nifanye biashara gani?
Siwezi kukwambia ufanye ipi kwa kuwa siishi unapoishi wewe, sijui uhitaji wake ni nini na sijui watu wanaofanya biashara fulani udhaifu wao ni upi.
So kabla ya kuanza biashara, anza kucheki vitu hivyo. Fanya utafiti wa kina. Usikurupuke, hizi biashara zinakutaka uwe mvumilivu na mpelelezi.
©mhaya
©chilo jr
Nataka nianze kuleta samaki moshi hapo mjini, vipi hii itafaa?Morogoro pako tight naona maana hapo mjini kila kibiashara kimejaa watu
Vimigahawa vimejaa kila Kona
Kila mtaa una wauza urembo
Vibanda cha chips kuna wale wapemba pale boma road
Pita pita pale sokoni kingaru na mawenzi labda utapata kitu cha kufanya
Ama uende mgeta ukabebe mazao ulete sokoni mawenzi