Wazo la biashara Morogoro mjini

Wazo la biashara Morogoro mjini

Joined
Mar 7, 2018
Posts
20
Reaction score
25
Wanajukwaa habari za Asubuhi,
Nina mtaji wa 3M nimehamia hivi karibuni Morogoro mjini hivyo nafikiria kuanzisha biashara. Sababu ya ugeni nimeona nisiwe na haraka kwanza bali niombe ushauri kwenu ni wazo gani la biashara naweza kuanzisha kwa hapa Moro kwa Mtaji huu? Wale Wa negative comments nawatarajia pia😎
 
Nikopeshe aftatu
 
Morogoro pako tight naona maana hapo mjini kila kibiashara kimejaa watu
Vimigahawa vimejaa kila Kona
Kila mtaa una wauza urembo
Vibanda cha chips kuna wale wapemba pale boma road
Pita pita pale sokoni kingaru na mawenzi labda utapata kitu cha kufanya
Ama uende mgeta ukabebe mazao ulete sokoni mawenzi
 
Siku zote biashara ni udhaifu na uhitaji. Yaani unatakiwa kuangalia kuna uhitaji upi mahali fulani unaufanyia kazi. Ama kuna udhaifu gani kwa mtu anayefanya biashara kama unayotaka kuanzisha, halafu unaufanyia kazi.

So hapa ndipo kulipo kwa wale watu wanaosema bro nipo Mwanza, nina mtaji wa milioni tano, nifanye biashara gani?

Siwezi kukwambia ufanye ipi kwa kuwa siishi unapoishi wewe, sijui uhitaji wake ni nini na sijui watu wanaofanya biashara fulani udhaifu wao ni upi.

So kabla ya kuanza biashara, anza kucheki vitu hivyo. Fanya utafiti wa kina. Usikurupuke, hizi biashara zinakutaka uwe mvumilivu na mpelelezi.

©mhaya
©chilo jr
 
So kabla ya kuanza biashara, anza kucheki vitu hivyo. Fanya utafiti wa kina. Usikurupuke, hizi biashara zinakutaka uwe mvumilivu na mpelelez

Siku zote biashara ni udhaifu na uhitaji. Yaani unatakiwa kuangalia kuna uhitaji upi mahali fulani unaufanyia kazi. Ama kuna udhaifu gani kwa mtu anayefanya biashara kama unayotaka kuanzisha, halafu unaufanyia kazi.

So hapa ndipo kulipo kwa wale watu wanaosema bro nipo Mwanza, nina mtaji wa milioni tano, nifanye biashara gani?

Siwezi kukwambia ufanye ipi kwa kuwa siishi unapoishi wewe, sijui uhitaji wake ni nini na sijui watu wanaofanya biashara fulani udhaifu wao ni upi.

So kabla ya kuanza biashara, anza kucheki vitu hivyo. Fanya utafiti wa kina. Usikurupuke, hizi biashara zinakutaka uwe mvumilivu na mpelelezi.

©mhaya
©chilo jr
Shukrani sana ndugu yangu
 
Kwa huo mtaji kama unataka kuishi nao mjini basi kodi kibanda cha machinga kingalu sokoni, weka bidhaa tofauti tofauti, weka kipaza sauti... Hukosi ya kula na kuendeleza mtaji mpaka kuja kumiliki fremu
 
Siku zote biashara ni udhaifu na uhitaji. Yaani unatakiwa kuangalia kuna uhitaji upi mahali fulani unaufanyia kazi. Ama kuna udhaifu gani kwa mtu anayefanya biashara kama unayotaka kuanzisha, halafu unaufanyia kazi.

So hapa ndipo kulipo kwa wale watu wanaosema bro nipo Mwanza, nina mtaji wa milioni tano, nifanye biashara gani?

Siwezi kukwambia ufanye ipi kwa kuwa siishi unapoishi wewe, sijui uhitaji wake ni nini na sijui watu wanaofanya biashara fulani udhaifu wao ni upi.

So kabla ya kuanza biashara, anza kucheki vitu hivyo. Fanya utafiti wa kina. Usikurupuke, hizi biashara zinakutaka uwe mvumilivu na mpelelezi.

©mhaya
©chilo jr
Mkuu agiza soda huko nakuja kulipia
Ushauri mzuri sana!
 
We agiza box la nguruka huko kigoma peleka uswahilini huko upige hela zako.
 
..unataka shughuli ya kukuingizia kipato kila uchwao au una utayari iwe inakuingizia baada ya muda Fulani ..
Kama ni ya kila uchwao ( biashara asubuhi jioni mahesabu ) jaribu biashara zifuatazo
1. Bodaboda - comes with highest risk
2. a) Goli la chips/ndizi/mishikaki/kuku - mwanzoni kulingana na eneo utakalojiset itakuwa ngumu mpaka pakishazoeleka
2. b) Goli la chapati/maharage/supu ya ng'ombe ...bado kwa Moro mjini na viunga vyake vijiwe hivi havijasambaa sana

Kama unataka ya msimu nunua nafaka kipindi cha mavuno weka store then uza baadae, hii inataka umakini wa quality checking unaponunua, nafaka kama mpunga, mahindi, maharage , mtama (mweupe au mwekundu) n.k
Biashara nyingine kwa mtaji wako nenda minadani nunua mbuzi safirisha kupeleka Dar, (Anza na mbuzi wachache) ila kwanza pata taarifa na maarifa namna ya kuwafikisha, vibali, n.k
 
..unataka shughuli ya kukuingizia kipato kila uchwao au una utayari iwe inakuingizia baada ya muda Fulani ..
Kama ni ya kila uchwao ( biashara asubuhi jioni mahesabu ) jaribu biashara zifuatazo
1. Bodaboda - comes with highest risk
2. a) Goli la chips/ndizi/mishikaki/kuku - mwanzoni kulingana na eneo utakalojiset itakuwa ngumu mpaka pakishazoeleka
2. b) Goli la chapati/maharage/supu ya ng'ombe ...bado kwa Moro mjini na viunga vyake vijiwe hivi havijasambaa sana

Kama unataka ya msimu nunua nafaka kipindi cha mavuno weka store then uza baadae, hii inataka umakini wa quality checking unaponunua, nafaka kama mpunga, mahindi, maharage , mtama (mweupe au mwekundu) n.k
Biashara nyingine kwa mtaji wako nenda minadani nunua mbuzi safirisha kupeleka Dar, (Anza na mbuzi wachache) ila kwanza pata taarifa na maarifa namna ya kuwafikisha, vibali, n.k ..

Kwa sasa niishie hapo.
 
Kwanini usitafute sehemu ya machinga.... Pia tafuta chance minadani
Niwe na kuagizia nguo kali za kike unauza upige pesa mzee,

Nguo n grade A, nakuagizia kwa Bei g ya Dar
We kazi yako ni kuweka kipaza sauti na kuvuta kiti unaweka nne huku bidhaa zikijiuza zenyewe

Ntakutumia: shifon Blouse grade A kwa Bei ya 3000 .... Wewe ukauze 5000 japo wengine wanauza mpk 8000 ni wewe tu utavyoamua
 
Attachments

  • IMG-20240807-WA0010.jpg
    IMG-20240807-WA0010.jpg
    125.9 KB · Views: 27
Morogoro pako tight naona maana hapo mjini kila kibiashara kimejaa watu
Vimigahawa vimejaa kila Kona
Kila mtaa una wauza urembo
Vibanda cha chips kuna wale wapemba pale boma road
Pita pita pale sokoni kingaru na mawenzi labda utapata kitu cha kufanya
Ama uende mgeta ukabebe mazao ulete sokoni mawenzi
Nataka nianze kuleta samaki moshi hapo mjini, vipi hii itafaa?
 
Back
Top Bottom