Wazo la biashara mtaji kwa milioni 5 kwa Mwanza

Mkukumbuke

Member
Joined
Sep 8, 2023
Posts
15
Reaction score
7
Hello wanajamvi

Mimi nikijana wa miaka 23 nimetokea Songea baada ya kumaliza chuo mwaka huu nikaona bora nijiajiri

Mimi mwenyewe kutokana na saving niliyopata kwenye boom

Natatanguliza shukrani zangu kwa wakazi wa Mwanza. Naomba mnisaidie
 
Njoo twende visiwani huko tukatafute dagaa tulete mwanza tuuze, kesho nasepa.
 
Wakati unasubiri wazo bora la biashara au kazi ya kufanya jitahidi sana usikanyage hivi viwanja,,
The Cask
Bundesliga
Kwatunza
Plasma
City Center Pub
DV8 (Shentember)
Diamond

Jidahidi sana hadi utakapo kuwa stable kibiashara,, vinginevyo utarudi hapa unalia,,
 
Hello wanajamvi

Mimi nikijana wa miaka 23 nimetokea Songea baada ya kumaliza chuo mwaka huu nikaona bora nijiajiri

Mimi mwenyewe kutokana na saving niliyopata kwenye boom

Natatanguliza shukrani zangu kwa wakazi wa Mwanza. Naomba mnisaidie
Huko huko songea mbona fursa zipo? Chukua mzigo wa dagaaa hapo mwanza Peleka Songea kauze jumla jumla,,, hrf ukimaliza mzigo unatoa unga wa ugari Songea nenda kauze mtera, ukimaliza mzigo ingia mwanza beba mzigo Rudi songea
 
Sasa nisikilize... Hebu kua unahudhuria kwenye bar hizi kubwa kubwa na hiyo hela yako unaenjoy kule ndiko michongo inapatikana asikuambie mtu kula raha huku unachonga michongo

ila ukikosa mchongo usijilaumu umekula maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…