CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Wazo la biashara ni jinsi wewe mwenyewe unavyopambanua mambo, ni sawa na wewe unaweza ona mke wako ni mrembo ila wengine wakaona ni wakawaida sana na kadhalika.
ANGALIA HUU MFANO
Kuna kundi la watu wali pandishwa kwenye basi moja aina ya Youtong kwa safari ya kutoka Mwanza kwenda Arusha kupitia Serengeti.
Safarini walikutana na mapori ya kutosha na mwisho wa safari kila mtu aliambia aelezee yeye ameona nini cha maana kwenye pori walimopita.
1. Mimi baada ya kuona porinikaona fursa ya biashara ya kuni.
2. Mimi baada ya kuona pori nikaona furua ya Mkaa
3. Mimi niliona fursa ya kujenga hoteli ya kitalii kwenye lile pori.
4. Mimi niliona fursa ya biashara yamadawa ya mitishamba.
5. Mimi niliona fursa ya Project ya Asari.
6. Mim niliona fursa ya project ya upigaji picha.
7. Mimi niliona fursa ya uchanaji wa mbao.
8. Kilimo
Hapo kila mtu alitoa ameona fursa gani.
Utaona kwamba pori moja ila idea zilitolewa nyingi sana.
Hivyo basi hata mtaani iko hivyo. Wewe unaweza ona Foleni za Dar ni kero ila yupo watakao ona fursa.
Unaweza ona ombaomba ni kero ila wapo wanaona fursa kupitia ombaomba.
Sent using Jamii Forums mobile app