Wazo la biashara, ukiona yafaa lifanyie kazi

Unguja na nguruwe umeweka pia ?? Aiseee kobazi watakuja tu ngoja
 
Unaandika kirahisi rahisi tu eti 20000 per night room 20 kwa siku laki nne!!???
bro biashara hazipogo hivyo labda kama ni mgeni!
 
Utaratibu wa kumiliki kiwanja kwa unguja ukoje? Na bei yake kwa ukubwa wa kujenga vyumba 5.
Asante
 
Haka ka biashara hua nakawaza sana. Naamini ni kabiashara ambako hakakulazi njaa na kanalipa kuliko kujenga nyumba za kupanga.

Kuhusu kuwa na mtu muaminifu ni ngumu, mi naona bora kuingia gharama kidogo unafunga cctv kamera.
Aisee we ndo umenistua.. jion mahesabu via VAR ya cctv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…