Wazo la biashara ya kuuza internet uswahilini

Annonymous

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2013
Posts
688
Reaction score
1,126
Habari. Nina wazo la biashara inahusisha zaidi kugawa huduma ya internet kwa wananchi kwa ghalama nafuu. Hii itawagusa wote wa chini na wafanya biashara.
Nahitaji mtu mwenye mtaji na uzoefu katika sekta ya mawasiliano hasa aliyewahi kifanya kazi kwenye makampuni ya simu au katika kampuni inayohusu data server, ip adresses, adsl na comcept zinazohusiana.

Niko radhi kumweleza wazo ila lazima
1. Ameet vigezo hivyo
2. Mazungumzo ni ana kwa ana
3. Siuzi wazo isipokuwa lazima kuwe na makubaliano ya pamoja ya kufanya kazi

Mwenye vigezo hvyo njoo DM nitakupatia email au namba ya mawasiliano na tuta arrange sehemu ya kumeet tuanze mkutano wa kwanza
 
Ambacho sijaelewa nikwamba wewe huna mtaji unahitaji mwenye mtaji au wewe pia unamtaji ila unahitaji partnership?
 
Nina wazo pasi na mtaji. Isipokuwa hata mwenye mtaji mwenyewe kama hana experience ya wazo hili panahitajika mtu mwenye experience pia. Mimi nna experience na hii project nayotaka kuifanya with partnership ila katika upande wa pili wake. Concept za ndani ndani zaidi sizifahamu. Project yenyewe itahusisha kununua vifaa vikubwa zaisi ya kimoja ambapo viwili vinaweza kugharimu dola40+ kila kimoja na vingine vidogo. Concept za welding zitahusisha na ili hii ifanikiwe lazima hatua ya kwanza ni kufungua kampuni na kuomba vibali na kuwasiliana na mitandao ya simu (mmoja wapol na kuingia nao mkataba kisha ndio utekelezaji.
Ndio maana nikaomba ikiwa ntapata mtu ambaye tyr alishafanya kazi kwenye mitandao ya simu ingawa mimi pia nfanya kazi huko ila kitengo tofauti basi itakwa chemistry nzuri zaidi
 
Nina wazo kama lako na niko na
Habari. Nina wazo la biashara inahusisha zaidi kugawa huduma ya internet kwa wananchi kwa ghalama nafuu. Hii itawagusa wote wa chini na wafanya biashara.
Nahitaji mtu mwenye mtaji na uzoefu katika sekta ya mawasiliano hasa aliyewahi kifanya kazi kwenye makampuni ya simu au katika kampuni inayohusu data server, ip adresses, adsl na comcept zinazohusiana.

Niko radhi kumweleza wazo ila lazima
1. Ameet vigezo hivyo
2. Mazungumzo ni ana kwa ana
3. Siuzi wazo isipokuwa lazima kuwe na makubaliano ya pamoja ya kufanya kazi

Mwenye vigezo hvyo njoo DM nitakupatia email au namba ya mawasiliano na tuta arrange sehemu ya kumeet tuanze mkutano wa kwanza

Habari. Nina wazo la biashara inahusisha zaidi kugawa huduma ya internet kwa wananchi kwa ghalama nafuu. Hii itawagusa wote wa chini na wafanya biashara.
Nahitaji mtu mwenye mtaji na uzoefu katika sekta ya mawasiliano hasa aliyewahi kifanya kazi kwenye makampuni ya simu au katika kampuni inayohusu data server, ip adresses, adsl na comcept zinazohusiana.

Niko radhi kumweleza wazo ila lazima
1. Ameet vigezo hivyo
2. Mazungumzo ni ana kwa ana
3. Siuzi wazo isipokuwa lazima kuwe na makubaliano ya pamoja ya kufanya kazi

Mwenye vigezo hvyo njoo DM nitakupatia email au namba ya mawasiliano na tuta arrange sehemu ya kumeet tuanze mkutano wa kwanza
Nina wazo kama lako na niko na lifanyia kazi nimekwama sehemu ila ni ishu ina hitaji mtu alie soma programming ila mahitaji mengi naya mudu. Kama upo willing kubadilishane wasiliano tupeane ideas zaidi karibu will be proud to invest and be a co-partner
 
Back
Top Bottom