Wazo la biashara ya mtandao

Wazo la biashara ya mtandao

Joined
Jan 10, 2015
Posts
78
Reaction score
27
MWAJILIWA NI MTUMWA WA PESA! JE NINI CHA KUFANYA KUONGEZA KIPATO CHAKO?
Ndg zangu ukitaka kuongeza kipato chako kila mwezi lazima utambue kwa thamani ya muda wako katika kuitafuta pesa. Ukisha tambua hilo kama unajipatia pesa ambayo haikidhi mahitaji yako mpendwa hakikisha kuwa una ongeza muda wako wa kuitafuta pesa kutoka katika muda wa kawaida unao tumia kuitafuta hiyo pesa ndogo!
KWA NINI MWAJIRIWA NI MTUMWA WA PESA?
Mwalimu julius K Nyerere alisema hivi hakuna UMASIKINI MKUBWA KAMA UMASIKINI WA KUFIKILI. Ndivyo wasomi wengi na waajiliwa wengi wanaangamia kwa kutokuwa na uwezo wa kufikili na kubuni miradi mbali mbali na hatimaye kuishia kupata PESA ZA DHULUMA,WIZI NA RUSHWA. ONGEA NA WASOMI NA WAAJILIWA WENGI WAMEKATA TAMAA NA MAISHA NA HAWANA MATUMAINI KIMAISHA.

JE MFANYAKAZI ANALIPWA PESA GANI?
Wafanyakazi wote hujipatia aina ya kipato kinaitwa RECIPROCAL INCOME. Hiki ni kipato ambacho unajipatia pale tu unapofanya KAZI kwa muda fulani. Kama usipofanya kazi hii pesa haingii kabisa. Hivyo pesa inakutumikisha. Ukiondoka kwenda safari ukachelewa angalau week nane unakuta umefukuzwa kazi hii ni kumaanisha kuwa wewe ni DAY WORKER sema tu pesa yako inakusanywa na kulipwa mwisho wa mwezi. Jiulize hivi kweli km wewe ni mwajiliwa AJIRA hio utakapofikia miaka SABINI UTAIFANYA? Kama jibu ni hapana mpendwa ni hatua gani za kujikomboa imechukua na kuangalia fursa nyingi ili kuzitumia. Leo hii unakuta DAKTARI AU ENGENEER amefikisha umri wa kustaafu lakini bado tu ANAONGEZA MIKATABA katika secta binafsi hii ni kwa sababu PESA ANAYOLIPWA NI YA KUJIKIMU MAISHA HAIPO SIKU ATAKUWA NA PESA YA ZIADA AU TAJIRI ITAKAYO MFANYA AFURAHIE ULIMWENGU WA PESA. Jiulize na wewe upo Tayari kuwa mtumwa wa NAMNA HII? JE UPO TAYARI KUKUSANYIWA PESA YA JASHO LAKO NA KUPEWA KILA MWEZI. HII PESA YA KUAJILIWA HUWEZI KUTAJIRIKA HATA SIKU MOJA KWANI UNALIPWA TU PALE UNATUMIA MUDA WAKO KUITAFUTA PESA NA UNALIPWA KUJIKIMU NA SIKU ZOTE ITAKUISHIA KILA MWEZI ILI UENDELEE KUMTUMIKIA KILA SIKU MAISHA YAKO YOTE.
NOTE: MPENDWA AJIRA SIO MBAYA LAKINI PANUA WIGO WA KUFIKILI NA UFIKILIE MAISHA YA WATOTO WAKO YATAKUWAJE HAPO BAADAE? HIVYO WATUMISHI MBALI MBALI NA VIJANA WENZETU WASOMI ELIMU PEKEE HUWEZI KUFANIKIWA MPENDWA JITAHIDI KUTENGENEZA MIFEREJI MINGI YA KUINGIZA PESA.

PESA NINAYO ITAKA MIMI AKILIMALI NI AINA GANI YA KIPATO?

Kila siku mkumbo huwa nawaza tangu niko mtoto na kujiuliza nifanye kitu gani kitakacho nifanya nifanye KAZI MARA MOJA(MUDA MFUPI) NA KULIPWA PESA MIAKA YANGU YOTE NIWE NAKULA PESA ZANGU TU?
Huwa nawaza sana tajiri huyu hapa TANZANIA NDUGU ROSTAM AZIZ ambaye anamiliki hisa za mauzo yote ya kampuni ya vodacom kila mwezi au mwaka zaidi ya ASILIMIA 30. Hii ndio pesa hunikosesha uzingizi kwani nitafanya kazi kwa mara moja naendelea kulipwa pesa kila mara bila kufanya kazi NAPENDA SANA SIKU MOJA PESA INAYOINGIA KILA MWEZI NAFURAHIA MATUNDA HAYA NA FAMILIA YANGU KWENDA SEHEMU MBALI MBALI. LAKINI UNAPOKUWA NI MUHANGA WA RECIPROCAL INCOME HAIPO SIKU UTAFURAHIA PESA YAKO UKIENDA DUBAI UKACHELEWA UNAFUKUZWA!!!! KWA NAMNA HII HUWA SIONI UMUHIMU WA PESA KWANI HUWEZI KUNILIPA VIZURI HALAFU NISHINDE KAZINI HATA SIKU MOJA UTUMWA HUU SIUPENDI NA NDIO HUNISUKUMA KUWA MFANYA BIASHARA MKUBWA HAPA DUNIANI
.
KIPATO NINACHO KITAKA HUITWA RESIDUAL INCOME.
Hii ndio pesa ambayo utaipata kwa kufanya kazi mara moja AU NDANI YA MUDA MFUPI na kuanza kuvuna mihela kila siku bila kufanya kazi yoyote. Huyu mtu wa namna hii PESA INAMTUMIKIA!

MAKUNDI HAYA HUFURAHIA RESIDUAL INCOME
AU PESA HUWATUMIKIA

1. Wasanii wakubwa
~Msanii akisha toa wimbo kila unapopigwa miaka na miaka CDs zake zitakuwa zinauzika. Na hivyo kumwezesha kuvuna pesa kika kukicha lkn yeye kazi aliyofanya ni kutunga wimbo tu.
2. Watunzi wa VITABU
Ndg yangu nakumbuka mnajua hawa watunzi wa vitabu vya tamthilia na Riwaya mbali mbali. Baada ya kutunga kila siku huvuna pesa kitabu chake kinaponunuliwa
3. Wamiliki wa hisa kubwa za makampuni kwa mfano Rostam Azizi na wengine.
4. Wafanya biashara wa BIASHARA YA MTANDAO.

Jiulize hivi kweli hupendi RESIDUAL INCOME? Na kama unapenda JE UPO KATIKA MAKUNDI HAYO HAPO JUU?

Kama wewe sio msanii na wala sio mtunzi wa vitabu pia huwezi kununua HISA kubwa katika makampuni makubwa.
Biashara hii ya mtandao ni biashara pekee inaweza kukufanya kumiliki hisa kubwa katika kampuni ukafanya kazi miaka 2-5 ukastaafu na ukaendelea kula hela VIZAZI VYAKO VYOTE.
Ndiyo maana wazungu waliamua kuanzisha hii biashara hapo mwaka 1920 huko australia HIZI ZOTE NI MBINU ZA KUONDOKANA NA UTUMWA WA PESA YA DAY WORKER AKA MSHAHARA.

Ubunifu huu unatokana na mtu kufikia umri wa kustafu huoni kabisa sehemu ya kukamata ili ujikimu, kiinua mgongo unachopewa ni AIBU KABISA PESA YAKO TANGU UNA UMRI WA KIJANA UNAKATWA NA KUTUMIKA NA MABENKI KUZALISHA FAIDA HALAFU WEWE UNAKUJA KUPEWA MILION 40. HUU NI UBEPARI LAZIMA TUBADILI FIKRA.
Nia yangu ya dhati ni kujipatia RESIDUAL INCOME sitaki tena nifikie miaka ya 35 bado nafanya biashara. Sitaki kuwa mtumwa wa RECIPROCAL INCOME.
Ni virahisi SANA kuanza kuwekeza hisa katika kampuni yetu YENYE MFUMO WA BIASHARA YA MTANDAO.
Nimefanya hii nikiwa na umri mdogo lakini mungu anabariki kila kukicha.

Karibu sana MFANYA KAZI KWANI HATA KAMA UMEBANANA VIPI KAZINI UNAWEZA KUMFUKUZA ADUI YAKO RECIPROCAL INCOME KWA KUFANYA KAZI NASI KWA MUDA WA ZIADA TU.

MAHITAJI YETU

Unachotakiwa kukidhi vigezo ni kulipia 26,000/- kama PESA YA USAJILI ndipo utaanza kufaidika haya.
1. Kila unaponunua bidhaa utapewa na kuwekeza hisa katika thamani ya dola sawa na pesa yako uliyo tumia kununua bidhaa husika.
2. Ukifikia dola 200 utaanza kurudishiwa FIDIA ya DOLA ambazo umewekeza ktk mwezi husika kwa asilimia 20. Ambayo huu ndio utakuwa mwanzo wa kuanza kujipatia kipato chako kila mwezi kutokana na manunuzi yako.
3. Pia ukifikia hisa ya dola 200 utaruhusiwa kumdhamini na kumfundisha mtu yeyote anayetaka naye kuanza KUBADILI MAISHA YAKE
4. ITAFIKIA HATU UNAPOKUWA NA MEMBERS WENGI UTAWEKEZA KIDOGO UNAVUNA PESA YA MAWAKALA WAKO WOTE.
KARIBUNI SANA NEPTUNUS COMPANY NIMEFANYA HII KAZI NA NINA UZOEFU WA KUTOSHA KATIKA BIASHARA HII.
NIPO TAYARI KUKUFUNDISHA NA KUKUTOA KIMAISHA ENDAPO TU UPO TAYARI KUFUATILIA MAFUNDISHO YANGU.
KAMA UPO TAYARI KUUNGANA NAMI KATIKA HII BIASHARA YA KARNE YA 21 NETWORK MARKETING KARIBUNI KATIKA SEMINA ZANGU.
NIPO MWANZA KILIMA HEWA SHUKA BIG BITE
PIGA SIMU/WHATSAPP 0752997088
AKILIMALI
KARIBUNI WOTE MNAOCHUKIA UTUMWA WA RECIPROCAL INCOME.
 
ni udanganyifu mwingine tu ndugu!
hakuna pesa rahisi,biashara za mtandao zinaweza kukutoa,lakini si kirahisi kama unavyo fikiri!
time will tell.
 
halafu wazungu hawajawahi wala hawatakuja kuwa na huruma na uchungu na waafrika!
GNLD, TIYASH, FOREVER LIVING etc!
naona watu wanahisi wakombozi wamepatikana!
sooner or later mtagundua kuwa ni biashara kama zingine na hakuna kitu kama kula huku haufanyi kazi.
 
[15:56, 1/13/2015] Young money: Historia za kampuni ni muhmu sana maana kuna kampuni zingine zina ibuka tu ghafla na baada ya miezi kadhaa zinapotea,au unakuta uko zilikotoka zimetapeli watu. Kuzijua bithaa ni nzuri zaidi maana utakuwa unafanya nini,vilevile ubora wa bithaa ni muhimu maana hupaswi kufanya kazi na kampuni yenye bithaa feki maana itakuletea shida ktk utendaji wako na utajikuta unashindwa kufikia malengo yako
[15:56, 1/13/2015] Young money: Pia lazima utambue vigezo vya kuingia mkataba na iyo kampuni,epuka kampuni inayo kutaka kutumia pesa nyingi ili kuwa mwanachama,na ikimbie kampuni inayokubana katika manunuzi maana najua tulio wengi mitaji yetu bado midogo sana ivyo inabidi tufanye chaguo sahihi.
 
hawa watu wa Forever living, GNLD na Wengine basically they are wrong. assume kila mtu anakuwa distributor wa bidhaa hizo. sasa nani atafanya kazi nyingine? kila siku wana discourage eti haa we upo bank? acha hapo njoo forever. yani inaboa sana. soon forever will come to extinction.
we need innovative work sio kudistribute bidhaa then u call yoself as a winner! nonsense
 
maongezi mengi nikadhani kuwa kuna kitu kipya kinakuja hapa nashangaa naona hii tena
aiseee
 
Huwezi kuwa tajiri kwa kuchuuza. Hata hapo uliowataja wenye residual income hawapo wachuuzi.

Utawapata tu watu usikonde
 
Elezea kwa sentensi moja tu unataka baada ya kusoma ujumbe wako tufanye nini?
 
Network Marketing REALLY Does Work!
Multilevel marketing works for a number of
reasons, and the three main ingredients for
success with this business model are residual
income, duplication and leveraging of time and
money. A multilevel business opportunity makes
the most of all three of those important principles.
Residual income
Network marketing provides a business
opportunity that allows people with no special
skills or previous experience to create lasting
streams of residual income without making large
initial investments.
Duplication
The networking business opportunity involves
many ordinary people that do a little rather than a
few experts doing a lot. The work is simple, easy
to teach and easy to learn.
Time and money leveraging
Networking allows people to leverage time and
money thereby gaining more of both, because
networkers benefit from the efforts of other people
as well as from their own efforts. In addition,
everyone in the organization has the same
opportunity to earn as much as the other members
can earn.
Network marketing will always work
According to Robert Kiyosaki, the economy of the
world has moved ahead, and multilevel marketing
is a major business for the 21st century.
 
Network Marketing REALLY Does Work!
Multilevel marketing works for a number of
reasons, and the three main ingredients for
success with this business model are residual
income, duplication and leveraging of time and
money. A multilevel business opportunity makes
the most of all three of those important principles.
Residual income
Network marketing provides a business
opportunity that allows people with no special
skills or previous experience to create lasting
streams of residual income without making large
initial investments.
Duplication
The networking business opportunity involves
many ordinary people that do a little rather than a
few experts doing a lot. The work is simple, easy
to teach and easy to learn.
Time and money leveraging
Networking allows people to leverage time and
money thereby gaining more of both, because
networkers benefit from the efforts of other people
as well as from their own efforts. In addition,
everyone in the organization has the same
opportunity to earn as much as the other members
can earn.
Network marketing will always work
According to Robert Kiyosaki, the economy of the
world has moved ahead, and multilevel marketing
is a major business for the 21st century.

hii biashara ya mtandao inaanza kuleta mantiki kichwani mwangu..
 
Back
Top Bottom