Wazo la Biashara ya nguzo za Umeme na faida yake kubwa

Wazo la Biashara ya nguzo za Umeme na faida yake kubwa

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
673
Reaction score
974
Wazo langu ni kufanya biashara ya Nguzo za Umeme, hapa Mufindi tumejaaliwa miti mingi ambapo tumekuwa tukitegemewa sana nchini pamoja na nchi jirani ya Kenya. Kama ningewezeshwa ningeweza kununua miti iliyo na ubora katika nguzo, ambapo bei yake ni huwa ni kati ya Tsh 20,000 hadi 30,000 ukiwa bado haujakatwa, kisha gharama za kuangusha na kuuchubua ni Tsh 12,000.

Wastani wa miti inayotakiwa kuenea kwenye gari huwa ni 90 mpaka 100, gharama ya usafiri wa gari ni Tsh mil 1 kutoka Mufindi hadi Iringa Wazo langu ni kufanya biashara ya Nguzo za Umeme, hapa Mufindi tumejaaliwa miti mingi ambapo tumekuwa tukitegemewa sana nchini pamoja na nchi jirani ya Kenya.

Kama ningewezeshwa ningeweza kununua miti iliyo na ubora katika nguzo, ambapo bei yake ni huwa ni kati ya Tsh 20000 hadi 30000 ukiwa bado haujakatwa, kisha gharama za kuangusha na kuuchubua ni Tsh 12000. Wastani wa miti inayotakiwa kuenea kwenye gari huwa ni 90 mpaka 100, gharama ya usafiri wa gari ni Tsh mil 1 kutoka Mufindi hadi Iringa Mjini ambapo bei kwa kila Nguzo moja huwa ni Tsh Laki moja.

Wastani wa uandaaji mzigo mpaka kuufikisha dukani huwa ni Tsh Mil 4 hadi 5, Hivyo ndani ya wiki mbili tu au wiki moja na Nusu nitakuwa na uwezo kwa kutengeneza zaidi ya Mil 4 hadi tano Kama Faida. ambapo bei kwa kila Nguzo moja huwa ni Tsh Laki moja. Wastani wa uandaaji mzigo mpaka kuufikisha dukani huwa ni Tsh Mil 4 hadi 5, Hivyo ndani ya wiki mbili tu au wiki moja na Nusu nitakuwa na uwezo kwa kutengeneza zaidi ya Mil 4 hadi tano Kama Faida.

Aliye interested anaweza kuwasiliana nami ilituweze kufanya biashara hii kwa sababu mimi naifahamu vizuri. Na naweza kuisimamia vizuri.
 
Je vipi kuhusu soko lake?wateja wake wakubwa ni akina nani? kama ni TANESCO hakuna utaratibu ule mrefu wa manunuzi??? yaanimnunaweza kufikisha tu mzigo na kulipwa hapohapo?
 
Halafu utauza wapi? kuna wateja au unauzia TANESCO
 
Back
Top Bottom