Mecris1992
Member
- Jun 12, 2015
- 7
- 1
Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana niliyehitimu chuo fani ya ugavi na manunuzi, kutokana na ugumu Wa ajira niliamua kubuni wazo la Biashara ili nisipoteze muda. Nilifikiria kuanzisha Biashara ya kununu manga plain T shirts na kuziprint then nizi advertise katika mitandao ya kijamii e.g Facebook, intagram, Twitter na mingineyo. na kwa yeyote atakayehitaji akiwa ndani ya Mwanza nampelekea mpaka alipo. lakini tatizo linakua moja, sina uzoefu na hii Biashara wala sijajua cost za kununua na kuprint hizo T shirts. pia mtaji unahitajia angalau sh ngapi maana mtaji Wa kuanzia inashauriwa usiwe mkubwa sana.
Kwa yeyote anayefahamu hii Biashara tafadhari naomba anijuze. Ahsante.
Kwa yeyote anayefahamu hii Biashara tafadhari naomba anijuze. Ahsante.