Vipi naweza kupata bajaj kwa mtu na inaweza kuwa bei gani ila iwe na hali nzuriMpo wapi watu wanapiga pesa.wacheni kufungia pesa BANK wakuu
Vipi naweza kupata bajaj kwa mtu na inaweza kuwa bei gani ila iwe na hali nzuri
Vipi naweza kupata bajaj kwa mtu na inaweza kuwa bei gani ila iwe na hali nzuri
Ntumie namba zako mkuu pm inanigomea kujaAu pia kwa faida ya wengine wote.. chimbo kilichonyooka si chini ya Mill 4 mpaka 5. Ila chini ya nne..sikushauri lazima itakuwa na matatizo yasiyoisha...
Kwa singida bajaji mpya shingapi?mkuu mie nafanya hii business kwa Singida ngoja nitajafanya survey uko mana huko kuna masilahi kidogo
7.2M Hesabu kwa siku ni elfu 20Kwa singida bajaji mpya shingapi?
Na dereva per day analeta shingapi?