Wazo la Biashara ya TRICYCLE MOTOR (BAJAJI)

Wazo la Biashara ya TRICYCLE MOTOR (BAJAJI)

Unajilipaje?.. Kiasi gani!?.. sawa unaweza pewa simamia lakini malipo yako una uhakika yatapatikana?..
Yanapatikana boss,chamsingi hesabu yako tu itimie na pia uzingatie pesa ya Service..mengine sio shida
 
mkuu mie nafanya hii business kwa Singida ngoja nitajafanya survey uko mana huko kuna masilahi kidogo
Sawa boss Fanya uchunguzi wako then ukiwa tayari utanichek, kwa singida sidhani kama itafikia hapa Mbeya
 
Mpo wapi watu wanapiga pesa.wacheni kufungia pesa BANK wakuu
 
Au pia kwa faida ya wengine wote.. chimbo kilichonyooka si chini ya Mill 4 mpaka 5. Ila chini ya nne..sikushauri lazima itakuwa na matatizo yasiyoisha...
Vipi naweza kupata bajaj kwa mtu na inaweza kuwa bei gani ila iwe na hali nzuri
 
Au pia kwa faida ya wengine wote.. chimbo kilichonyooka si chini ya Mill 4 mpaka 5. Ila chini ya nne..sikushauri lazima itakuwa na matatizo yasiyoisha...
Ntumie namba zako mkuu pm inanigomea kuja
Au nichek 0759493919
 
Mkuu nisaidie nawezaje kupata bajaji mimi sina pesa ya kununua pia kukopa kupitia equity bank wanataka 2M sasa sina hiyo 2M wanayotaka kianzio ili nikope na ndoto yangu nimiliki bajaji naamini wewe upo kwenye hiyo game unaweza kuwa na connections au abc's zitakazonisaidia. (I'm legs disabled)
 
Back
Top Bottom