Wazo la biashara

Wazo la biashara

Babaanyi

Senior Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
114
Reaction score
43
Wakuu, naomba kujuzwa ni watu gani binafsi wenye kupokea wazi zuri Kabambe la biashara, ambalo labda umekwama kutokana na pesa kidogo. Wanaoweza kuwekeza Kuwa partners au hata mkopo mdogo.

asanteni
 
Wakuu, naomba kujuzwa ni watu gani binafsi wenye kupokea wazi zuri Kabambe la biashara, ambalo labda umekwama kutokana na pesa kidogo. Wanaoweza kuwekeza Kuwa partners au hata mkopo mdogo.

asanteni
Hakuna
 
Hata hapa wapo, Cha msingi ulitoe wazo lako briefly then walioko interested watakutafuta
 
TE="Babaanyi, post: 17197916, member: 97008"]Wakuu, naomba kujuzwa ni watu gani binafsi wenye kupokea wazi zuri Kabambe la biashara, ambalo labda umekwama kutokana na pesa kidogo. Wanaoweza kuwekeza Kuwa partners au hata mkopo mdogo.

Njoo pm tongee

asanteni[/QUOTE]
Njoo
 
Back
Top Bottom