Wazo la biashara!

Wazo la biashara!

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Wadau! Ni biashara gani ya bidhaa au huduma ambayo unaweza kuanzisha kwa Kiasi cha Tsh 2,000,000/=? Naombeni mawazo, ushauri, mbinu na michango bunifu katika hili!
 
pitia jukwaa la ujasiriamali waweza ambulia chochote pia, anyway ngoja waje wadau wengine wanaweza kukupa mawazo mengine.
 
Wadau! Ni biashara gani ya bidhaa au huduma ambayo unaweza kuanzisha kwa Kiasi cha Tsh 2,000,000/=? Naombeni mawazo, ushauri, mbinu na michango bunifu katika hili!

Wazo la kwanza ulilolipata baada ya kupata mtaji na kuwaza biashara ni nini? tukilifahamu hilo itakuwa ground nzuri ya kuanzia hapo kwa kuwa tutabaini focus na scope of preference
 
Kama uko DAR na kama ni kijana, basi fanya biashara ya kununua vitu hapa Dar na kuviuza mikoani. Fanya utafiti kwani utafiti ni sehemu muhimu sana ya biashara yoyote ile. Epuka kuingia kichwa kichwa na zaidi ya yote wasikilize wanaJF kwani kuna vichwa humu.
 
Mimi nafanya biashara na nilianza na mtaji wa 700,000/= na kwa mwezi napata 300,000/= + kama uko tayari tuwasiliane nikupe maelezo ya hiyo biashara my ph.no 0765778664
 
Back
Top Bottom