wazo la kuanzisha firm

wazo la kuanzisha firm

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
mimi na rafiki yangu tuna wazo la kuanzisha firm itakayo kuwa ina husika na mambo yafuatayo
1. Kufanya researches kwa niaba ya makampuni flani au organizations flani.
2. Shughuli za consultance zihuisanazo na mazingira n.k
3. Msaada na ushauri wa kisheria kwa watu wanao hitaji. Mfano. Kuandaa na kusimamia mikataba mbalimbali.
4. Uandaaji na business plans na projects.

Lengo letu hasa ni ku recruit wasomi waliomaliza na wako mtaani bila ajira na hawana wazo la kujiajiri. Japo hatuta ajiri watu wengi llakini walau tutaajiri wale tutakao kuwa na uwezo nao na pia ambao watakuwa competent.

Natoa shukurani kwa jf hasa ili jukwaa kwa kupanua mawazo yangu japo bado niko chuo nikielekea kuhitimu stashahada yangu lakini nimeweza na bado nina ndoto za kufanya mambo mengi makubwa.
 
Wewe elmagnifco uliletaga mchakato mzuri kweli nkakupm had leo kimya.Vp tatzo nin? Au ulienda ule mji unaoitwa bize?
 
Wewe elmagnifco uliletaga mchakato mzuri kweli nkakupm had leo kimya.Vp tatzo nin? Au ulienda ule mji unaoitwa bize?

hebu nikumbushe mkuu, au ule wa investment? Kama wa investment nshapata mkuu kwan si niliwaambia mimi siye mwenye mtaji kuna jamaa raia wa u.k ndiye alitaka mtu wa kushirikiane naye kimawazo au awe partner na alipatkana sema nahuyo mzungu naye reponse yake ni slow sana.
Vipi una mchakato mwingne maana nina mtu mwingne
 
Umeweka hapa jf ili iwe je maana hujasema nia ya kuweka humu jamvini
 
Umeweka hapa jf ili iwe je maana hujasema nia ya kuweka humu jamvini

nia yangu shine ni kama kuna watu ambao watakuwa interested na hii kitu na kimawazo au watataka kuwa involved directly tunaweza shirikiana as currently bado niko chuo lakini ntakuwa free kuanzia june kwakuwa ndpo nahitimu.
Nina imani wapo vijana wengi wana taaluma mtaani sema akili yao imejikita zaidi kwenye kuajiriwa.
 
Back
Top Bottom