Wazo la kuanzisha Jamiiforums Veteran

Wazo la kuanzisha Jamiiforums Veteran

Ruble

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
845
Reaction score
1,579
Habarini wakuu.

Nimekaa nikawaza. Binafsi napenda sana kucheza soka la kujifurahisha.

Nimekaa nikawaza tunaweza humu watu kadhaa tukajipanga tukaja na timu yetu ya maveteran umri kuanzia miaka 27 kwenda mbele ambapo tutajipanga na kukubaliana kwa lengo la kutafuta mechi za kirafiki na timu zingine za maveteran na zile za mashirika na taasisi binafsi.

Timu hii inalenga watu wanaoishi Dar.

Nawasilisha wazo wakuu.
 
Back
Top Bottom