Wazo la kufanya biashara ya asali toka Tabora

diannajohn

Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
76
Reaction score
8
Wapendwa mm ni kijana nilihetimu chuo na kwa sasa kama mnavyojua ajira zinasumbua sana nimekuja na wazo moja la kufanya biashara ingawa sina uzoefu na biashara.
Naomba ushauri wenu naitaji kufanya biashara ya asali natoa Tabora napeleka dar ila tatizo sijajua soko la asali kwa dar likoje ivo nilikua naomba ushauri kwa walioko dar na hata sehemu ingine biashara hii inapolipa vizur
 
Kila kila ni kuthubutu tu mkuu, go on with ur idea
 
Nimewahi kusikia kuwa kwenye mahotel makubwa ni wateja wazuri wa asali. Kuhusu kusafirisha kutoka mboka hadi Bongo kuna mambo changamoto nyingi ikiwemo kukamatwa ikusafirisha zao hilo bila vibali. n. k Hivyo endelea kutafiti masoko na uanze, changamoto utapambana nazo uwanjani. (woga wako ndio umaskini wako)
 
Unafanya biashara kwakua umekosa ajira eti! Sio mbayaa ila Luna hatua za kisaikolojia unapaswa chukua kwanza. Msomi wa CHUO hujui hata Ku google taarifa za asali Tanzania au nchi jirani! Hujui kutafuta maandiko yahusuyo asali na kupata pa kuanzia? Ungekua unapenda biashara hata hapo Tabora ungeliona solo LA asali maana sio wrote wafuganyuki hapo hapo. Walanguzi wanakuja wengi hapo umeshindwa kuwapeleleza wanapo uzia? Unrukia huku kutangaza degree makaratasi. Na ukosage ajira tu unyooke. Better I got no degree.
 
Uko tabora?
 
Kwani mbona umetokwa na povu jingi sana sababu ya kusema nimemaliza Chuo au kunakitu cha ziada? Mimi nimeomba ushauri kama wewe hutaki kunishauri acha wengine watatoa ushauri kwani veepe,watu wengine bwana kama kitu unauzoefu nacho siunamshauri tu mtu hadi umtolee povuuu,daaa imenisikitisha sana .ila nashukuru maana tushukuru kwa kila jambo

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Usinichukulie vibaya kijana mwenzangu, ukiona nachangia kwa ukali kwanza jiulize kwanini nifanye hivyo? Ulipo sema una degree nilitarajia kitu zaidi ya hapo, usinge anza na tangazo LA usomi basi ningekushauri pia. Lakini mbona nimekushauri tu!au kwakua niliponda degree ndio hukuona ushauri ulio ndani? Rudia mchango wangu bila hasira utapata kitu. Solo la asali lipo Tabora, wateja ni wale wasio fuga pia na mahotel. Anzisha mfumo wa kupaki kwa being nafuu yaani hicho kichupa cha konyagi unagawa nusu ili mtu asiwaze sana kininua, tafuta vigingashio maalum na utaanza Tabora na kujitanua. Vichupa vifogo imara hata MTU aweze kusafiri acho. Samahan kwa kuponda degree yako, siku nyingine usitqngulize wasifu wako bila kama haihitajiki. Karibu
 
Duuuh...!!! Ungemshauri tu vizuri kuliko kutumia nguvu nyingi kuandika upupu...!!!
 
Asali nzuri ipo Itigi ya Tabora haiko recomended kutonana na kuwa na sumu ya tumbaku
 

SIJAONA FAIDA YA WEWE KUMPA USHAURI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…