diannajohn
Member
- Nov 13, 2016
- 76
- 8
Wapendwa mm ni kijana nilihetimu chuo na kwa sasa kama mnavyojua ajira zinasumbua sana nimekuja na wazo moja la kufanya biashara ingawa sina uzoefu na biashara.
Naomba ushauri wenu naitaji kufanya biashara ya asali natoa Tabora napeleka dar ila tatizo sijajua soko la asali kwa dar likoje ivo nilikua naomba ushauri kwa walioko dar na hata sehemu ingine biashara hii inapolipa vizur