Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauza kwa moja moja pia mkuu ??Kila la HERI mkubwa ukifika wakati ukihitaji computer niona, nina mzigo wa computer dell AIO,nzuri sana kwa darasa, bado uko majini ziko zaidi ya 14. inbox if you are seriously guy
Kuna center moja niliwahi hudhuria kabla You tube wasap hazijagunduliwa ilikuwa haina watu na mwishowe ilifungwa.Jaribu na wewe labda itauzaNapenda kufungua center itakayokuwa inatoa mafunzo ya computer kwa wanafunzi wanaohitimu elimu ya kidato Cha nne pamoja na wadau wengine
Naomba mwongozo wenu juu ya wazo hili au anaejua changamoto Zake anijuze tafadhari
Nakaribisha mawazo
Mimi nilihudhuria kozi za office 10 - years ago yaani darasa lilikuwa halina wanafunzi na cession zilikuwa tatu au unavyojisikua mwenyewe. ICT sio chaguo la wabongo tangu iingie mpaka leo.Kama unayo solid plan ya kupata wateja bas sawa lakin competitor mkubwa kwako ninaye muona ni INTERNET sabab kuna online courses nyingi sana ambazo mtu anaweza kusomea hizo programs unazosema. Binafsi nikisiaga mtu anaenda 'kusomea' compter hua na mashaka kua kama anaelewa fika anachotaka kufanya. To be honest hz biashara zlikua HOT miaka 10 iliopta kwa sasa demand sidhani kama ipo juu kihivyo (Labda location uliopo kama iko favorable) kozi zlizobaki kwny computer ambazo kweli ambazo mtu unaweza sema atasomea labda ni kwa upande wa hardware I mean computer maintanance.
Au kwa ushauri mwingine wa dharura weka courses za computer maintanance and phone repair.
Bro umeshauri vizuri watu hawajui haya mambo wanajiongelea tuNaona wachangiaji wengi Mnamkatisha Tamaa mtoa mada! Mnaongea kitu msichokijua kabisaa! Ushauri wangu kwa Mtoa mada : Wazo lako ni zuri tena fundisha Computer Application yani fundisha Word, excel, powerpoint, Access, Publisher nakuhakikishia utapata Wateja! Mimi nipo Mjini kabisa Naona Center zipo kibao watu wapo hapa hapa Mjini wanafundisha kuanzia mwanzo kabisa kuwasha Computer na kuzima na wanapiga Hela sana tu! Asikutishe Mtu eti watu wanajua kutumia Computer, wengi wanajua tu kuwasha na kuplay movie ila watu wengi Hata Microsoft word inawasumbua sana vitu kama kuandaa Table of contents, kuweka page number, yani hiyo Word tu itakujazia wateja! Sasa ukiongeza na excel ndo kabisaa yani wewe fundisha program za microsoft tu utakuja kuniambia!
Eti watu wanasoma Online nyooo! Wabongo waache kuingia insta aende youtube kusoma Excel? Mtoa mada usitishike! Achana na Graphics na maintanance anza kwanza na akina Microsoft utakuja kunishukuru
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Umetisha broooo....ila ww cyo mbongo....maana umenyoosha ukweliNaona wachangiaji wengi Mnamkatisha Tamaa mtoa mada! Mnaongea kitu msichokijua kabisaa! Ushauri wangu kwa Mtoa mada : Wazo lako ni zuri tena fundisha Computer Application yani fundisha Word, excel, powerpoint, Access, Publisher nakuhakikishia utapata Wateja! Mimi nipo Mjini kabisa Naona Center zipo kibao watu wapo hapa hapa Mjini wanafundisha kuanzia mwanzo kabisa kuwasha Computer na kuzima na wanapiga Hela sana tu! Asikutishe Mtu eti watu wanajua kutumia Computer, wengi wanajua tu kuwasha na kuplay movie ila watu wengi Hata Microsoft word inawasumbua sana vitu kama kuandaa Table of contents, kuweka page number, yani hiyo Word tu itakujazia wateja! Sasa ukiongeza na excel ndo kabisaa yani wewe fundisha program za microsoft tu utakuja kuniambia!
Eti watu wanasoma Online nyooo! Wabongo waache kuingia insta aende youtube kusoma Excel? Mtoa mada usitishike! Achana na Graphics na maintanance anza kwanza na akina Microsoft utakuja kunishukuru
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Asante brotherHiyo ndiyo akili ya mitanganyika iliyomingi. Haijui kitu kwa undani wake lakini inajifanya ni master wa kila jambo. Ukiyataiti kidogo tu yanasepa. MZEE WE ENDELEA NA MIPANGO YAKO CHA MSINGI UWE MBUNIFU KWA HIYO CENTRE YAKO. UNAWEZA KUFUNDISHA PROGRAM MBALIMBALI UTAKAZOONA ZINAFAA KULINGANA NA ENEO ULILOPO NA WAKATI HUO HUO UKAANZISHA WORKSHOP YA KUTENGENEZA PC, PHONES NA ELECTRONI DEVICES NYINGINE, PIA UKAWEKA NA KASTATIONERY N.K CHA MSINGI KULIKO VYOTE IPENDE KAZI UNAYOIFANYA NA KUWA MWAMINIFU HUTOJUTA MAISHANI.
Lakini computer ina matumizi yake sahihi. Mimi nilishuhudia chuo kuna watu wana laptop ila hajui kutumia MS office hata kidogo anakwenda stationary kuandikiwa kazi zake.Ninamashaka km unauelwa na unachotaka kufanya, sabab kuu ni moja unafundishaje computer sasa? Computer ni pana sana ww unataka kufundisha programs zipi? Halaf cmptr ckuiz hasa kwa mijini ziko majumban watu wanaanza kuzitumia tangu wakiwa wadogo sasa ww unataka kuwafundisha nn? Kuwasha na kuzima? Yan unachotaka kufanya ni sawa na mtu kufungua chuo cha kufundisha watu kutumia smartphone.