Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,147
mkuu upo fresh nishawahi kuwa na wazo kama hilo ila nikalipiga chini kwanza niliona sio wazo lakunipa pesa za kunitoa bali litaniongezea pesa tu hivyo nikaamua kulisubirisha kwanza... you need a big muscle and put innovation ideas to it.
naweza nikakuwa idea yangu lakini je utadesign mwenyewe au una pesa utampa mtu adesign?
In short linaweza likakupa 5 to 10 millioni kwa mwezi kuchanganya local and international traffic. Lakini ni pesa ambayo unaweza kuitumia kufund much bigger projects.
Sababu hakuna haimaanishi haiwezekani. Tatizo watu hawajapatia suala la content. Content ni ishu. Wengi tunafanya vitu kwa kuigana. Kila mtu anataka kuanzisha ka blog lakini hafahamu audeince yake ni kina nani. Kaka mimi nitafanya hii ishu ya content na I will make more than 200 euros unazomake. Watch the space.Hakuna website bongo inaingiza pesa hii kutokana na adsense, nina experience yakutosha na hii biashara mkuu.
Just prepare for worse while hoping for the best, ukipata euro 200 kwa mwezi kutokana na adsense mshukuru Mwenyezi Mungu.
Sababu hakuna haimaanishi haiwezekani. Tatizo watu hawajapatia suala la content. Content ni ishu. Wengi tunafanya vitu kwa kuigana. Kila mtu anataka kuanzisha ka blog lakini hafahamu audeince yake ni kina nani. Kaka mimi nitafanya hii ishu ya content na I will make more than 200 euros unazomake. Watch the space.
Don't generalize the whole thing up bruh, hakuna website yenye traffic kubwa E.A kama JF, na hakuna website yenye content by minutes kama JF ask Inv au Mike they will tell you, been on this game for a min bruh.... i know what im talking about, hutakuja kuingiza $ 10,000 achilia mbali hiyo $ 5,000 ...... directory platform i.e hotels, restaurants, bars etc hazina traffic, sina nia ya kukukatisha tamaa la hasha lakini usiweke exceptions zisizowezekana, my 2cents
Kuna watu wanapiga hela nzuri kabisa na adsense,ww ulkua unakomaa to raise euro 200Hakuna website bongo inaingiza pesa hii kutokana na adsense, nina experience yakutosha na hii biashara mkuu.
Just prepare for worse while hoping for the best, ukipata euro 200 kwa mwezi kutokana na adsense mshukuru Mwenyezi Mungu.
Kuna watu wanapiga hela nzuri kabisa na adsense,ww ulkua unakomaa to raise euro 200
Nimekuwa nikipitia humu JamiiForums nakuta mara nyingi watu wanakuwa wanatafuta information. Muda mwingine wanakuwa hawazipati au muda mwingine wanazipata.
Nafikiria kubuild a portal ambayo itakuwa inalist hotel zote za gharama nafuuu kwa Tanzania. Nataka kufahamu ni watu wangapi watakuwa interested kuitumia hiyo directory.
Naongelea wale watu wafanyabiashara wanaopenda kusafiri mara kwa mara na wafanya kazi wanaosafiri kikazi. Mnaonaje hii information ikawa inapatikana kwa urahisi? Hii portal itakuwa free to use.
Pia huduma gani zingine ungependa ziwepo kwenye hii portal?
Huduma za Taxi je?
Nipeni mawazo yenu
Hakuna website bongo inaingiza pesa hii kutokana na adsense, nina experience yakutosha na hii biashara mkuu.
Just prepare for worse while hoping for the best, ukipata euro 200 kwa mwezi kutokana na adsense mshukuru Mwenyezi Mungu.
Hivi revenue ya website ni adsense pekee? Hakuna njia nyingine ya kuingiza revenue kupitia blog au website?
hahahaha I never mentioned about adsense anywhere. Wewe ndo ulikuja na mambo ya adsenseHapa tulikuwa tunaongelea monetization kwa njia ya adsense only na sio avenue nyingine, though zipo nyingi tu.
Ninafanya project kama hii na niko lwenye hatua za mwisho. Adsence siyo revenue pekee. Inategemea na monetization strategy yako. Mtoa mada kama uko tayari njo tushirikiane. Niko almost 95% ya phase one ili ni weke project hewani. Phase 2 ndo a bit complex na ndiyo ina monitization features.Hapa tulikuwa tunaongelea monetization kwa njia ya adsense only na sio avenue nyingine, though zipo nyingi tu.
Umetumia platforma gani kwa kumaainishi programming tools. Na inatoa services gani? KWenye phase one umeshafanya nini na kwenye phase 2 ulikuwa unategemea kufanya nini?Ninafanya project kama hii na niko lwenye hatua za mwisho. Adsence siyo revenue pekee. Inategemea na monetization strategy yako. Mtoa mada kama uko tayari njo tushirikiane. Niko almost 95% ya phase one ili ni weke project hewani. Phase 2 ndo a bit complex na ndiyo ina monitization features.
hahahaha I never mentioned about adsense anywhere. Wewe ndo ulikuja na mambo ya adsense
Ninafanya project kama hii na niko lwenye hatua za mwisho. Adsence siyo revenue pekee. Inategemea na monetization strategy yako. Mtoa mada kama uko tayari njo tushirikiane. Niko almost 95% ya phase one ili ni weke project hewani. Phase 2 ndo a bit complex na ndiyo ina monitization features.