Wazo la kutengeneza directory

Wazo la kutengeneza directory

Freelancer

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
2,965
Reaction score
2,147
Nimekuwa nikipitia humu JamiiForums nakuta mara nyingi watu wanakuwa wanatafuta information. Muda mwingine wanakuwa hawazipati au muda mwingine wanazipata.

Nafikiria kubuild a portal ambayo itakuwa inalist hotel zote za gharama nafuuu kwa Tanzania. Nataka kufahamu ni watu wangapi watakuwa interested kuitumia hiyo directory.

Naongelea wale watu wafanyabiashara wanaopenda kusafiri mara kwa mara na wafanya kazi wanaosafiri kikazi. Mnaonaje hii information ikawa inapatikana kwa urahisi? Hii portal itakuwa free to use.

Pia huduma gani zingine ungependa ziwepo kwenye hii portal?

Huduma za Taxi je?

Nipeni mawazo yenu
 
mkuu upo fresh nishawahi kuwa na wazo kama hilo ila nikalipiga chini kwanza niliona sio wazo lakunipa pesa za kunitoa bali litaniongezea pesa tu hivyo nikaamua kulisubirisha kwanza... you need a big muscle and put innovation ideas to it.

naweza nikakuwa idea yangu lakini je utadesign mwenyewe au una pesa utampa mtu adesign?
 
Inategemea na how occupied upo .Sababu mimi ni programmer naweza nikawa na design in collaboration with other programmers. Idea kama hizi hutakiwa kuangalia mshiko. Unatakiwa kuangalia ni jinsi gani utaweka innovation.

Ila hili wazo halina pesa nyingi sana. In short linaweza likakupa 5 to 10 millioni kwa mwezi kuchanganya local and international traffic. Lakini ni pesa ambayo unaweza kuitumia kufund much bigger projects.
 
basi poa tuwasiliane 0713774746 mi na project zingine kama hizi
 
In short linaweza likakupa 5 to 10 millioni kwa mwezi kuchanganya local and international traffic. Lakini ni pesa ambayo unaweza kuitumia kufund much bigger projects.

Hakuna website bongo inaingiza pesa hii kutokana na adsense, nina experience yakutosha na hii biashara mkuu.

Just prepare for worse while hoping for the best, ukipata euro 200 kwa mwezi kutokana na adsense mshukuru Mwenyezi Mungu.
 
Sababu hakuna haimaanishi haiwezekani. Tatizo watu hawajapatia suala la content. Content ni ishu. Wengi tunafanya vitu kwa kuigana. Kila mtu anataka kuanzisha ka blog lakini hafahamu audeince yake ni kina nani. Kaka mimi nitafanya hii ishu ya content na I will make more than 200 euros unazomake. Watch the space.
 
Don't generalize the whole thing up bruh, hakuna website yenye traffic kubwa E.A kama JF, na hakuna website yenye content by minutes kama JF ask Inv au Mike they will tell you, been on this game for a min bruh.... i know what im talking about, hutakuja kuingiza $ 10,000 achilia mbali hiyo $ 5,000 ...... directory platform i.e hotels, restaurants, bars etc hazina traffic, sina nia ya kukukatisha tamaa la hasha lakini usiweke exceptions zisizowezekana, my 2cents
 
Mkuu inaonekana bado hujaelewa nachokiongea. Na nikikuelewasha nitakufumbua macho. I am seeing a specific patern. Sikuota tu usiku ku suggest hii idea. Na tukija kwenye website maarufu kuliko zote Tanzania, then Mwananchi ina trafic 16 times ya jamii forums. Global publishers ya shigongo nayo pia ina traffic kuliko jamii forums. LAkin bado hzio site hazitawezza kutap market ya google. Ishu inaanzia kwenye content, then kinachofuata ni who are the consumers of the content, halafu cha tatu ni je hayo matangazoyanafit kwa hao consumers wa hiyo content? Usiniulize how do I know these things. And do you know kwanini adsense hailipi kwa jamii forums? Ukiwa unajua jibu la hilo swali utaanza kunieelwa I am talking from which angle. Kwa hiyo usifanye tu assumption based on past failures. I wish ningekupa more info ndo ungefanhamu how many oppoerunities unazimiss. Usifanye kitu kwa mazoea. Na mimi ndo angle ambayondo nakuja. Give me time and I will prove you that nothing is impossible.
 
Hakuna website bongo inaingiza pesa hii kutokana na adsense, nina experience yakutosha na hii biashara mkuu.

Just prepare for worse while hoping for the best, ukipata euro 200 kwa mwezi kutokana na adsense mshukuru Mwenyezi Mungu.
Kuna watu wanapiga hela nzuri kabisa na adsense,ww ulkua unakomaa to raise euro 200
 
Nimekuwa nikipitia humu JamiiForums nakuta mara nyingi watu wanakuwa wanatafuta information. Muda mwingine wanakuwa hawazipati au muda mwingine wanazipata.

Nafikiria kubuild a portal ambayo itakuwa inalist hotel zote za gharama nafuuu kwa Tanzania. Nataka kufahamu ni watu wangapi watakuwa interested kuitumia hiyo directory.

Naongelea wale watu wafanyabiashara wanaopenda kusafiri mara kwa mara na wafanya kazi wanaosafiri kikazi. Mnaonaje hii information ikawa inapatikana kwa urahisi? Hii portal itakuwa free to use.

Pia huduma gani zingine ungependa ziwepo kwenye hii portal?

Huduma za Taxi je?

Nipeni mawazo yenu

Tunaomba ufanye hivyo mkuu,
 
Hakuna website bongo inaingiza pesa hii kutokana na adsense, nina experience yakutosha na hii biashara mkuu.

Just prepare for worse while hoping for the best, ukipata euro 200 kwa mwezi kutokana na adsense mshukuru Mwenyezi Mungu.

Hivi revenue ya website ni adsense pekee? Hakuna njia nyingine ya kuingiza revenue kupitia blog au website?
 
Changamoto itakuwa jinsi ya kupata hiyo content.
 
Hivi revenue ya website ni adsense pekee? Hakuna njia nyingine ya kuingiza revenue kupitia blog au website?

Hapa tulikuwa tunaongelea monetization kwa njia ya adsense only na sio avenue nyingine, though zipo nyingi tu.
 
hahahaha I never mentioned about adsense anywhere. Wewe ndo ulikuja na mambo ya adsense
 
Hapa tulikuwa tunaongelea monetization kwa njia ya adsense only na sio avenue nyingine, though zipo nyingi tu.
Ninafanya project kama hii na niko lwenye hatua za mwisho. Adsence siyo revenue pekee. Inategemea na monetization strategy yako. Mtoa mada kama uko tayari njo tushirikiane. Niko almost 95% ya phase one ili ni weke project hewani. Phase 2 ndo a bit complex na ndiyo ina monitization features.
 
Umetumia platforma gani kwa kumaainishi programming tools. Na inatoa services gani? KWenye phase one umeshafanya nini na kwenye phase 2 ulikuwa unategemea kufanya nini?
 
Ninafanya project kama hii na niko lwenye hatua za mwisho. Adsence siyo revenue pekee. Inategemea na monetization strategy yako. Mtoa mada kama uko tayari njo tushirikiane. Niko almost 95% ya phase one ili ni weke project hewani. Phase 2 ndo a bit complex na ndiyo ina monitization features.

Umeongea kweli kabisa, na I hope hili daraja utali-cross vema , all the best
 
Back
Top Bottom