Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,965
- 2,147
- Thread starter
- #21
Usijali mkuu tulikuwa tunadebate. Lakini haitaaffect kama napandisha website au la. Ni vizuri kubadilishana mawazo na uzoefu mara nyingi. Mfano umetoa tahatdari kwamba ukitumia adsense peke yake hutofanikiwa. Ka hiyo tunajifunza kupitia hizi interactionPandisha website kaka, maneno hayajengi..