Huku dar ipo chiefKampun gan maana mm nipo Moro sijaona hiyo. Wazo langu mm huenda likafanana na hao ila uendeshaj ukawa tofaut sana
Oky Mkuu, ni wazo linalohitaj investment kubwa mno ili kufika mikoa mbalimbaliHuku dar ipo chief
umeongea point kubwa sana mkuu, hawa big fish wa makampun ya kuuza mitungi ya gas hii itakua kichomi sana kwao labda kama wao ndo washawishike kuinvest kwenye hii idea, means kwa mfano Orycx wauze hyo mitungi na pia wawe na sheli za gas piaHapana. Hili wazo bado halipo.
Anachosema ni kuwe na sheli (kituo cha ku refill gas kwenye mitungi) like kama unakwenda sheli (kituo cha mafuta) ku refill mafuta / gesi kwenye gari.
Wapi kuna sheli ya gesi ya kupikia? HAKUNA.
Hao Kopa Gas na M Gas hawafanyi hivyo.
Changamoto: Lazima makampuni makubwa ya Gas yakubaliane na wazo ili kutohatarisha biashara zao otherwise wanakuzima mapema tu.
Gharama yake ya uanzishwaji ni ndogo zaidi kuliko Kopa Gas.
Wasiwasi wangu ni mgongano wa kimaslahi na makampuni makubwa ya gas
Kuna mdau amesema wapo DSM ila sijajua hata hapo Dsm wanafahamika kila mahaliHao Kopa gas wanauzia wapi jamani,mbona mimi sijawahi kuziona kabisa hizo bidhaa zao
Mwenzio kafanya hivi!Kampun gan maana mm nipo Moro sijaona hiyo. Wazo langu mm huenda likafanana na hao ila uendeshaj ukawa tofaut sana
SECRET AGENT raraa rereeHao Kopa gas wanauzia wapi jamani,mbona mimi sijawahi kuziona kabisa hizo bidhaa zao
Hiyo ya kujaza gesi ya 1000 haiwezekani kiuchumi.Habari wana JF
Nimekaa nikawaza biashara ya kuuza gesi kwa kupima kutokana na kiwango cha pesa mtu alichonacho.
Kutokana na maisha kuwa magum mtaani sometimes unakuta mtu ameishiwa gesi kwenda kuchukua mwingine inakua shida kwa mfano mtungi mdogo ni elf 20+ .
Nikawaza mtu aanzishe biashara ambayo atakua na gas points sijui iitwaje ila iwe gas point au vituo ambapo yeye atakua na mitungi mikubwa ya gesi kifupi awe na store kubwa ya gesi kama vile sheli ya mafuta. Na kuwe na mpira maalum wa kurefill gesi kwenye mtungi ambao umeunganishwa na mfumo wa kiditali wa kusoma kiwango cha gesi kama vile mpira wa kurefill mafuta ulivyo.
Mteja ataenda na mtungi wake na atatoa kiwango cha pesa alichonacho, mfano nina elfu tano kwahiyo napimiwa gesi ya kiwango cha elf tano tu. Muuzaji ataingiza gesi ya elfu tano. Inamaana kutawekwa viwango mfano kuna gesi ya elfu moja, elf 2, elf 3 na kuendelea mbele.
Mwenye kufungua biashara hii anaweza kuwa na vituo vingi kwenye miji ili wateja wasisumbuke kufika kwenye vituo hivi vya kuuza gesi.
Nawasilisha. Ni wazo tu nlikua najaribu kuliwaza ila ni wazo ambalo litasaidia sana watu wa maisha ya chini kusurvive.
anaweza kuingia kama competitor akaangalia wapi wamepelea akaboresha zaidi, thats why kuna Tigo, Airtel, Vodacom na zingineKopa gas
M gas
tayari wana hiyo huduma endelea kufikiria wazo lengine
Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
mkuu kosa la kiufundi hili usijae kufanya, ni muhimu sana uwajue hao kina Kopa gas wanafanya nini maana they are likely wakawa ni competitors wako kwa namna moja au nyingineWazo langu sidhan kama ni exact na hao Kopa gas japo siwajui wanavyofanya ila huenda ni tofaut kabisa, toa maoni kwa wazo langu sio siasa za Kopa gas hapa