Wazo la kuuza gesi ya kupikia kwa kiwango cha pesa uliyonayo

Wazo la kuuza gesi ya kupikia kwa kiwango cha pesa uliyonayo

Hapana. Hili wazo bado halipo.

Anachosema ni kuwe na sheli (kituo cha ku refill gas kwenye mitungi) like kama unakwenda sheli (kituo cha mafuta) ku refill mafuta / gesi kwenye gari.

Wapi kuna sheli ya gesi ya kupikia? HAKUNA.

Hao Kopa Gas na M Gas hawafanyi hivyo.

Changamoto: Lazima makampuni makubwa ya Gas yakubaliane na wazo ili kutohatarisha biashara zao otherwise wanakuzima mapema tu.

Gharama yake ya uanzishwaji ni ndogo zaidi kuliko Kopa Gas.

Wasiwasi wangu ni mgongano wa kimaslahi na makampuni makubwa ya gas
 
Hapana. Hili wazo bado halipo.

Anachosema ni kuwe na sheli (kituo cha ku refill gas kwenye mitungi) like kama unakwenda sheli (kituo cha mafuta) ku refill mafuta / gesi kwenye gari.

Wapi kuna sheli ya gesi ya kupikia? HAKUNA.

Hao Kopa Gas na M Gas hawafanyi hivyo.

Changamoto: Lazima makampuni makubwa ya Gas yakubaliane na wazo ili kutohatarisha biashara zao otherwise wanakuzima mapema tu.

Gharama yake ya uanzishwaji ni ndogo zaidi kuliko Kopa Gas.

Wasiwasi wangu ni mgongano wa kimaslahi na makampuni makubwa ya gas
umeongea point kubwa sana mkuu, hawa big fish wa makampun ya kuuza mitungi ya gas hii itakua kichomi sana kwao labda kama wao ndo washawishike kuinvest kwenye hii idea, means kwa mfano Orycx wauze hyo mitungi na pia wawe na sheli za gas pia
 
Kampuni kama ya oryx inaweza kuweka pampu moja kwenye kituo chake cha mafuta kwa ajili ya kujazia gas
Una 5k unawekewa unaenda kuivisha zako maharage
 
Kampun gan maana mm nipo Moro sijaona hiyo. Wazo langu mm huenda likafanana na hao ila uendeshaj ukawa tofaut sana
Mwenzio kafanya hivi!

Kawekeza katika tekinolojia, kaweka mfumo wa gps sijui, ukihama unae (ana fahamu ulipo, ukikolokochoa ana pata alarm 🚨)

Pia ana point zake za kuhudumia wateja kwa haraka na ana base kubwa ya kujaza gas ⛽️

Sasa basi... kwanza kabisa ana kipatia mtungi wenye gas ⛽️ kama una jiko, kama hauna ana kupa vyote mtungi na jiko, una lipa kidogo kidogo....

Pia una jipimia gas kulingana na pesa uliyonayo kama luku ya umeme, na ndio tuna taka twende na kwenye maji...

Pesa yako Ikiisha basi gas ⛽️ Ina jifunga mpaka ulipie ndio utaweza kutumia tena...

Ukihama ana weza kujua mteja wake kahama bila wewe kumpa taarifa na anaweza kukufikia

Vilevile... gas ikiisha ana kuletea mtungi mwingine mpaka ulipo... Yani huna haja ya kuanza kubebelea mtungi kwenda manzese kwenye gas point wakati una kaa mabibo... Au kwenda mtaa wa pili kama sio wa tatu, yani hapa wateja wana fatwa kuletewa gas, mtungi ulio kwisha una rudishwa base kwa ajili ya kujazwa na kupelekewa mteja mwingine kwa ajili ya matumizi...
 
Hao Kopa gas wanauzia wapi jamani,mbona mimi sijawahi kuziona kabisa hizo bidhaa zao
SECRET AGENT raraa reree

Huyo hapo una weza mtafuta kwa maelezo zaidi, Au mtafute Meneja Wa Makampuni

7112E84B-0CF3-4C6E-8227-4B3584D0BBF0.png
 
Habari wana JF
Nimekaa nikawaza biashara ya kuuza gesi kwa kupima kutokana na kiwango cha pesa mtu alichonacho.

Kutokana na maisha kuwa magum mtaani sometimes unakuta mtu ameishiwa gesi kwenda kuchukua mwingine inakua shida kwa mfano mtungi mdogo ni elf 20+ .

Nikawaza mtu aanzishe biashara ambayo atakua na gas points sijui iitwaje ila iwe gas point au vituo ambapo yeye atakua na mitungi mikubwa ya gesi kifupi awe na store kubwa ya gesi kama vile sheli ya mafuta. Na kuwe na mpira maalum wa kurefill gesi kwenye mtungi ambao umeunganishwa na mfumo wa kiditali wa kusoma kiwango cha gesi kama vile mpira wa kurefill mafuta ulivyo.

Mteja ataenda na mtungi wake na atatoa kiwango cha pesa alichonacho, mfano nina elfu tano kwahiyo napimiwa gesi ya kiwango cha elf tano tu. Muuzaji ataingiza gesi ya elfu tano. Inamaana kutawekwa viwango mfano kuna gesi ya elfu moja, elf 2, elf 3 na kuendelea mbele.

Mwenye kufungua biashara hii anaweza kuwa na vituo vingi kwenye miji ili wateja wasisumbuke kufika kwenye vituo hivi vya kuuza gesi.

Nawasilisha. Ni wazo tu nlikua najaribu kuliwaza ila ni wazo ambalo litasaidia sana watu wa maisha ya chini kusurvive.
Hiyo ya kujaza gesi ya 1000 haiwezekani kiuchumi.
 
Wazo langu sidhan kama ni exact na hao Kopa gas japo siwajui wanavyofanya ila huenda ni tofaut kabisa, toa maoni kwa wazo langu sio siasa za Kopa gas hapa
mkuu kosa la kiufundi hili usijae kufanya, ni muhimu sana uwajue hao kina Kopa gas wanafanya nini maana they are likely wakawa ni competitors wako kwa namna moja au nyingine
 
Back
Top Bottom