Wazo la kuwa na maktaba Geita nani kaliua?

Wazo la kuwa na maktaba Geita nani kaliua?

rwenge

Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
44
Reaction score
22
Nchi yetu ya Tanzania bado inawatu wema kwa mustakabali wa nchi hii ingawa wema hao wanakosa nguvu katika kuleta mabadiliko.

Mnanmo mwaka 2008/2009 kulifanyika uamasishaji kwa wanafunzi wa vyuo vikuu waliokuwa na mapenzi mema na Mkoa wa Geita kutoka vyuo vikuu kadhaa hapa Tanzania ikiwa ni pamoja na UDSM, SUA, SAUT, UDOM na Zanzibar university kuwa wawe wanakuja na wazo LA kuinua wilaya yao. Katika kufanya hili walikuja na wazo La kuwa na Maktaba ya wilaya baada ya kujilidhisha kuwa eneo lililokuwa limetengwa kwa kazi hiyo sasa ndipo benk ya CRDB imejengwa hivyo hakuna eneo lingine kwa matumiz ya Maktaba.

Vijana wale walichukua hatua ya kutumia mamlaka zilizopo ilikuwezesha upatikanaji wa eneo linguine kwa ajili ya maktaba na juhudi hizo zilizaa matunda na halmashauri kupitia kwa mkugenzi ilitoa eneo la kufanikisha azma hiyo katika eneo LA bomba mbili block D kiwanja no 149 au 49 kama sijakosea na uongozi wa halmashauri ukaliingiza suala hill katika mipango yake na kuunda kamati maalum ya maktaba ikishirikisha wadau wakiwemo wanafunzi waanzilishi mkuu wa kamati hiyo akiwa ni afisa ukaguzi wilaya.

Ajabu ni kwamba hadi leo hakuna kilichofanyika na kunaarifa kuwa file like halipo kwa ufupi limepotea na hakuna anaejua lilipo wanaojua has a viongozi was Geita ni bora muweke mambo adharan wananch wajue
 
Hilo ni gumu ndugu yangu. Hizo zilikuwa mbwebwe zenu kuona kusoma kwenu kuna mawazo mapya! Mngetumia waheshimiwa madiwani mngefaulu. Isitoshe Tanzania moyo wa kujisomea umeisha. Hata wachangiaji wa mada hii hawapo.
 
Back
Top Bottom